Monday, January 22, 2018
ROBIN VAN PERSIE AKAMILISHA USAJIRI KWENDA FEYENOORD
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uholanzi Robin Van Persie amerejea katika timu yake ya zamani iliyomkuza ya Feyenoord na kusaini mkataba wenyethamani ya paundi milioni 1.5 kwa mwaka akitokea Fenerbahce kwa uhamisho huru.
Van Persie ameripoti hii leo De Kuip ili kukamilisha uhamisho huo wa kurejea Feyenoord tangu ipite miaka 14 toka kuondoka kwake na kujiunga na...
Arsenal 2004 akiondoka hapo mwaka 2002.
Miongoni mwa klabu alizopata kuchezea Van Persie kabla ya kurejea tena katika ligi ya Uholanzi ni the Gunners , Manchester United na Fenerbahce.
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment