Tuesday, January 30, 2018
MAMA DIAMOND ARUSHA DONGO BAADA YA VIDEO YAKE AKIWA NA WEMA KUSAMBAA
Maneno yamekuwa mengi baada ya Wema Sepetu kupanda kwenye stage na kumuita Diamond Platnumz wakiwa Maisha Basement na wengi kujiuliza kuhusu ukaribu wao tokea wakiwa Hyatt Regency katika utambulisho rasmi wa msanii Marombosso katika record label ya WCB.
Mama Diamond akaamua kupost instagram sehemu ya video clip Wema akiwa kwenye stage na kuandika...
“KWA HERUFI KUBWA NYIE ONGEENI CHAMBANENI CC TUNAPIGA PESA”
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment