Lil Wayne amekujia tena. Msanii huyo wakai anajitayarisha kuachia mixtape yake iitwayo ‘Dedication 6’ ameachia ngoma yake mpya ‘Big Bad Wolf’ yenye urefu wa dakika 4 na sekunde 7.
Miongoni mwa mistari ambayo rapper huyo amechana kwenye ngoma hiyo, inasema, “When the shit get ugly, I go Pretty Ricky. I don’t fuck with rats, neither...
Minnie, Mickey / I don’t fuck with cops, that’s the piggly wiggly / Fuck my bitch’s friends and they friendly friendly.”
0 comments:
Post a Comment