Matumizi ya asali kama
tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne
nyingi zilizopita duniani kote.Vitabu vingi vya zamani vinazungumzia
namna watu walivyotibiwa magonjwa mbalimbali kutokana na asali. Moja ya
vitabu hivyo ni KURUANI TUKUFU ambayo Mwenyezi Mungu
anaitaja
asali kama tiba(AN-NAHL 16:68-69). Sasa hivi kuna makala nyingi zilizo
andikwa zikielezea kuhusu uwezo wa asali katika tiba ya magonjwa
mbalimbali. Warusi na Wafaransa wanafahamika sana katika... kufanya utafiti
katika maabara kuhusu uwezo wa asali katika tiba mbali na Kuruani Tukufu
kuna.
baadhi
ya vitabu vingine vinavyofahamika kuandikwa na watafiti kuhusu uwezo wa
asali katika tiba. Moja kile cha BEES DON'T GET ARTHRITIS CHA FRED
MALONE NA BEE IN BALANCE CHA AMBER ROSE.
Leo
tuangalie tiba ya asali na mdalasini na namna ya kuitumia kutibu
maradhi mbalimbali(asali tunayoizungumzia hapa ni asali safi mbichi.)
BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIWA KWA ASALI NA MDALASINI NI KAMA IFUATAVYO:
1.UGONJWA WA VIUNGO/MAUMIVU NA UVIMBE(ARTHRITIS)
-Chukua
maji kiasi vuguvugu na ongeza mdalasini (unga kijiko cha chai na asali
vijiko 2 vya chakula na kuchua sehemu zenye maumivu)
-Vilevile
waweza kutengeneza kikombe kimoja cha chai kwa kuweka kijiko kimoja cha
unga wa mdalasini na kuongeza asali vijiko viwili vya chakula na kisha
kunywa ikiwa ya moto kutwa mara mbili(asubuhi na jioni)
2.KUKATIKA KWA NYWELE(HAIR LOSS)
-Asali ikichanganywa na mdalasini na mafuta vuguvugu ya olive hutia kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele.
-Tumia mchanganyiko huo vuguvugu kwa kupaka na kusugua kichwani na acha kwa dk 15 kisha uoshe.
3.UKUNGU WA MIGUU(FUNGUS)
-Changanya
kijiko cha chakula cha asali na vijiko viwili vya chai vya mdalasini na
acha kwa muda wa nusu saa kisha safisha .(rudia hivyo mpaka upone)
4.MAAMBUKIZI KWENYE KIBOFU CHA MKOJO(BLADDER INFECTION)
-Changanya maggy ya maji vuguvugu na vijiko2 vya chai vya mdalasini na kijiko1 cha asali huondoa bakteria kwenye kibofu.
5.MAUMIVU YA JINO(TOOTHACHE)
-Changanya sehemu tano za asali na sehemu moja ya mdalasini na dondoshea kwenye jino linalouma hadi maumivu yatakapotoweka.
6.VIDONDA VITOKANAVYO NA MAGONJWA YA KULALA KWA MUDA MREFU(BED SORES)
-Paka
saladi iliyochanganywa asali na mdalasini.Vilevile tumia chai ya
roseberry nyekundu kwa kuondoa maumivu makali ya canker sores/bed sores.
7.LEHEMU(CHOLESTRAL)
-Changanya
asali safi mbichi vijiko2 vya chakula na unga wa mdalasini vijiko2 vya
chakula na kikombe cha chai cha maji ya moto na unywe kutwa mara 3
8.MAFUA(COLDS)
-Tumia
mchanganyiko wa kijiko 1 cha chakula cha asali vuguvgugu na robo kijiko
cha unga wa mdalasini kuondoa chafya na kuvimba koo.
9.UGUMBA(INFERTILITY)
-Asali
inaaminika kuamsha hamu ya mapenzi. Kwa wapenzi. wa jinsia zote
wanashauriwa kunywa walau vijiko 2 vya chakula kila siku kabla ya muda
wa kulala. Mdalasini imetumika muda mrefu katika dawa za kichina na
kihindi kuongeza uwezo wa uzazi kwa akina mama wenye kuhitaji kuzaa.
-Changanya
mdalasini na kiasi cha asali na kufanya mgando (paste)na upake kwenye
fizi na meno na kuacha inyonywe na kuingia mwilini taratibu na hii ni
kwa akina mama wasio na sababu za kimsingi za kuwakosesha kuzaa.
10.MCHAFUKO WA TUMBO(STOMACH UPSET)
-Asali
kwa muda mrefu imetambulika kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo
na kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na asali pia hupunguza
maumivu yaletwayo na vidonda vya tumbo.
11.GESI(ACID)
-Kula
asali pamoja na mdalasini kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao
na gesi(acid)huu ni uchunguzi ulio fanywa na Japan na India
12.UGONJWA WA MOYO(HEART DISEASE)
-Unaweza
kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa
mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara
kwa kupakaa kama jam wakati wa kula mkate wa ngano wenye nyuzinyuzi
nyingi iliyopakwa kijiko 1 cha chakula cha mchanganyiko huo(asali na
mdalasini) kila siku
13.SHINIKIZO LA DAMU(H/B/P)
-Shinikizo
la damu pamoja na matatizo yaambatanayo na maumivu ya kifua na
kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada
ya upata dozi ya mara kwa mara ya asali iliyochanganywa na mdalasini.
14.KINGA YA MWILI(IMMUNE SYSTEM)
-Kinga
yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara
asali na mdalasini kwa pamoja.Utafiti unaonyesha kuwa hazina kubwa ya
vitamini(virutubisho),madini pamoja na mchanganyiko wa mdalasini na
asali iondoayo magonjwa na kinga itolewayo na chembechembe nyeupe za
damu husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea(virus)na
bakteria.
15.UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME(UHANITHI/IMPOTENCE)
-Asali
ina historia ndefu ya kuamsha nguvu ya uume pamoja na kuwa dawa
madhubuti ya kuponyesha uhanithi kutokana na uwezo wake kama
kiamshaji/chaji. Asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya
dini za mashariki za dunia.
Watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba
asali inauwezo wa kupelekea mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo
mdalasini.
-Katika
Afrika na dunia ya kusini mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika
sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza nguvu ya kufanya mapenzi.
16.KUTOKUCHAGULIWA KWA CHAKULA(INDIGESTION)
-Kula
vijiko 2 vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo huondoa
kiungulia na wataalam wanasema asali husaidia kutolewa kwa juisi
zinazotumika kuchaguliwa kwa chakula tumboni na mdalasini unaongeza kasi
ya kuchaguliwa kwa chakula.
17.FLU(INFLUENZA)
-Tafiti
moja ya Kihispania imethibitisha kwamba aina ya dawa iliyopo katika
asali ni dawa moja asilia ya ajabu ambayo huharibu vimelea(virus)waletao
flu.
18.KUONGEZA UMRI WA KUISHI(LONGEVITY)
-Unaweza
kuishi hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa
kunywa kila siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na
asali.Kutengeneza kinywaji hiki kitamu weka vijiko
4(vikubwa)vya
mdalasini na vijiko 4 vya asali,vikombe 3 vya maji na koroga kwa dk 10
kisha kunywa robo kikombe mara 3 au 4 na hivyo utakuwa na kinywaji
kingi.
19.KUONDOA CHUNUSI(PIMPLES)
-Changanya
vijiko 3 vikubwa vya asali na kijiko 1 kikubwa cha mdalasini na pakaa
kwenye chunusi.Uwezo wa asali wa kuua bakteria unafanya uso kuwa wa
kawaida katika muda wa wiki 2.
20.KUUMWA NA WADUDU(WASHA WASHA WENYE SUMU)
-Changanya asali na mdalasini kisha pakaa moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia tena hadi uvimbe uishe.
21.MADHARA YA NGOZI(INFECTIONS)
-Fanya kama ilivyoandikwa namba ishirini hapo juu.
22.KUPUNGUZA UZITO.
-Waweza
kufurahia vyakula vyote unavyovipenda kuwa na afya nzuri na kupunguza
uzito wa mwili ambao hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha
nzuri kilichojaa vitu muhimu viwili ambavyo ni asali na mdalasini.
-Unachohitajika
kufanya ni kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi
yako.Vilevile wataalam wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa
nyama nyama nje ya mwili kwa kuanza siku yako kwa kutumia vijiko 2
vikubwa vya asali na kijiko 1 cha mdalasini.Rudia mchanganyiko huo kabla
ya kulala.Wataalam wamethibitisha kuwa inapunguza hamu ya kula na
kuleta joto mwilini.
23.SARATANI(CANCER)
-Utafiti
uliofanyika huko Australia na Japan umeonyesha kuwa asali ina uwezo
mkubwa katika tiba ya magonjwa kwa anaetumia madawa ya kutibu
saratani.Katika tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua
saratani ya mifupa na utumbo ambao walikuwa wanatumia kila siku dozi ya
asali na mdalasini walionyesha kupata nafuu maradufu kuliko wale
waliokuwa wanatumia madawa ya kutibu saratani peke yake.Dr.HIROKI OWATA
alisema waliwapa mchanganyiko wa asali na mdalasini kijiko kimoja kutwa
mara 3 kwa mwezi 1 na wengine waliendelea kama kawaida.
24.KUONDOA UCHOVU(FATIQUE)
-Uko
ushahidi kwamba sukari asilia iliyopo katika asali inauwezo wa kuongeza
nishati mwilini.Zikitumika ipasavyo sukari hii inaweza kuwasaidia wazee
na wengine wanaosumbuliwa na uchovu.Wataalam wanapendekeza kuchanganya
nusu kijiko cha asali katika nusu kikombe cha maji yaliyonyunyiziwa
mdalasini kunywewa masaa mawili baada ya kuamka.Rudia kunywa saa 9
alasiri wakati nishati(nguvu)inapoanza kuisha kufuatia ushauri wa
dr.MILSTON ABBOZZA ambaye kazi zake kuhusu asali na mdalasini kama
kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa.
25.KUVIMBA NYAYO(SOREFEET
-Changanya
asali na mdalasini katika maji vuguvugu na uchue
miguu(nyayo)zilizoathirika baada ya siku ndefu ya kazi au baada ya
mazoezi marefu.Rudia kila asubuhi na unawe nyayo kwa maji baridi na vaa
viatu.
26.HARUFU MBAYA MDOMONI
-Chukua
maji ya vuguvugu changanya na asali na mdalasini kisha sukutua kila
asubuhi.Katia Asia ya kusini mashariki watu hula kijiko cha asali na
mdalasini ili kuondoa harufu mbaya(halitosis).Wataalam wanaamini uwezo
wa kuua bakteria uliopo kwenye asali ndio unaopigana na harufu mbaya
toka mdomoni.
27.KUPUNGUA KWA USIKIVU(LOSS OF HEARING
-Dozi za kila siku za asali na mdalasini hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama ilivyogunduliwa na Wagiriki zamani.
-Kutumia mdalasini na asali kutakufanya uonekane kuwa na afya nzuri.
0 comments:
Post a Comment