skip to main |
skip to sidebar
SASA UNAWEZA KUWAPIGIA KURA WATANZANIA TUZO ZA AMI HAPA
Uzalendo kwanza ifanye tuzo ya Ami itue Tanzania kwa kuchagua msanii kutoka Tz katika kipengele husika bonyeza neno Vote here hapo chini na uende kwenye kipengele husika.
katika kipengere cha Best Male Eastern Artist watanzania ni Diamond Platnumz, Darassa, Harmonize na Alikiba. Tembelea sasa pia kuna wasanii wengine kwenye vipengele mbali mbali unaweza kupiga kura sasa.
0 comments:
Post a Comment