“Kweli amefariki alikuwa... kwao Morogoro na bado haikujulikana alikuwa anaumwa nini na mume wake naye anaumwa yupo kwao Shinyanga,” amesema.
“Kwahiyo msiba upo Morogoro, kuna mtu ambaye anaelekea Morogoro sasa hivi akifika kule tutajua kila kitu. Morogoro alienda muda kidogo baada ya kuachana na mume wake. Baada ya kuachana, Noorah akaenda kwao na mke wake akaenda kwao. Hawakubahatika kuwa na watoto,” ameongeza.
“Marehemu alikuwa anaitwa Anna Kigwalu lakini baada ya kuolewa na Noorah akabadilisha jina na kuitwa Camila.”
0 comments:
Post a Comment