Pages

Subscribe:

Sunday, February 28, 2016

BAADA YA KUKANWA NA RICH MAVOKO GIGY MONEY AWEKA CHAT YAKE NA MAVOKO HADHARANI

Baada ya video queen Gigy Money kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na Rich Mavoko na baadae staa huyo wa wimbo ‘Pacha Wangu’ kukanusha, Gigy Money aweka wazi chati zao za WhatsApp.

Gigy Money, alipost instagram chat hizo na kila moja kuiandika ujumbe wake. Hata hivyo baade alizifuta post hizo. Fungua na uzisome hapa...

Download: Sarmy Clever ft Samir_Kipepeo


New song-kipepeo  Wimbo wangu mpya unatoka rasmi Leo tarehe 26.feb.2016  SARMY CLEVER ft SAMIR-----KIPEPEO

Download

Saturday, February 27, 2016

MADEE: FEROUZ ALIKATAA COLABO NA MIMI


Msanii Madee amesimamia usemi wake ambao alishawahi kutungia wimbo wa "Hip Hop Haiuzi", na kusema hiyo ndiyo sababu kubwa ya yeye kuacha kurap na kuanza kuimba. Madee ameyasema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kuwa kwake yeye ilikuwa haimlipi ndiyo maana akaamua kuwaachia wengine.

“Hip hop haiuzi bro, kwangu haiuzi ndio maana nimeiacha, hao inaowalipa waache waendelee kufanya tu”, alisema Madee. Akiongelea harakati zake za muziki, amesema wimbo ambao ulimtoa wa "Kazi Yake Mola" wakati anaurekodi, Ferouz ndiye...

DOGO JANJA: NILIKUWA NAWAZA NTARUDI VIPI


Msanii Dogo janja amesema aina ya muziki anayoifanya sasa hakutarajia kuifanya, kwani alikuwa hajajiandaa kufanya hivyo, lakini ilipotokea mashabiki wake wameonekana kuikubali. Dogo janja ameyasema hayo alipokuwa akiongea na East Africa Radio, na kusema kuwa kabla hajatoa wimbo wake huo mpya alikuwa ana wasi wasi iwapo atafanikiwa kufanya poa, na alikuwa anafikiria ni jinsi gani arudi kwenye game

“Kitu ambacho kilinafnya nichange style, nilikuwa nafikiria jinsi ya kurudi, pia nilikuwa muoga, nikawa narekodi napeleka, narekodi napeleka, kuna jamaa anaitwa Cal kutoka Norway ni producer alikuja...

Download: Lil' Wayne_Trouble


Download

HILI NDIYO JIBU LA ROMA BAADA PICHA YAKE NA MDOGO WA ALIKIBA KUZUA UTATA

Ikiwa zimesalia wiki kadhaa ili msanii wa Hip Hop Tanzania,Roma kufunga ndoa na mpenzi wake anayejulikana kama Nancy au Mama Ivan kumeibuka na utata baada ya kusambaa kwa picha ya msanii huyo akiwa kwenye pozi linaloonekana ni la kimahaba na zabibu Kiba, mdogo wa kike wa Ali Kiba na watu kuhisi huenda wawili hao wakawa wana mahusiano ya kimapenzi

Kituo cha redio kimoja kilimtafuta mke mtarajiwa wa Roma na kumuuliza kuhusiana na picha hiyo ambapo bibie huyo alidai kuwa...

Download: AT_Ayo Kwa Ayo


Download

Download: Millian ft Diamond Platnumz_Nyota Ya Mashariki


Download

Download: Dogo Janja_My Life

Dogo Janja

Download

NAY AVUNJIWA KIOO CHA NYUMA CHA GARI LAKE

Jux

Msanii wa muziki wa Hip Hop Nay wa Mitego amepatwa na majanga ya kuvunjiwa kioo cha gari yake usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi wakati akielekea kutambulisha video ya wimbo wake mpya ‘Shika Adabu Yako’ katika kipindi cha FNL cha EATV.


Kupitia instagram, Nay wa Mitego ameandika ameandika.
Nimevunjiwa kio Cha gari nikiwa njia naenda kwenye Intrvw Chanel5 EaTv kwa ajili ya kutambulisha my New Video #ShikaAdabuYako sorry Watu wangu mliokua...

BEN POL AELEZEA KUHUSU WIMBO WAKE NAKUCHANA NA JUX

1
See more txt inside here...

Watch & Download: Nay Wa Mitego_Shika Adabu Yako [Official Video]


Watch Here

PESA ALIZOVUNA MR NICE MIAKA YA NYUMA ZAANZA KUFANYA KAZI

Msanii mkongwe na mwanzilishi ya style ya TAKEU, Mr Nice amefunguka kwa kusema kuwa bado yupo vizuri kiuchumi tofauti na watu wanavyodhani kwamba amefilisika.

Akizungumza na Bongo5 Alhamisi hii, Mr Nice amesema kwa kuthibitisha hilo amejenga nyumba mpya kubwa nyumbani kwao ndani ya miezi mitatu.
“Watu hawajui kwamba walinipa pesa nyingi sana mpaka leo bado nazitumia, nyie mnaona kama zimeisha hazijaisha, hapa sasa hivi nawazima kidomo domo wale...

MZUNGU KICHAA AWAPA DISS WEMA NA IDRISS SULTAN




Staa wa muziki Mzungu Kichaa, amevunja ukimya kuligusia suala ambalo pengine linawaumiza wasanii wengi, ikionekana kuwa ni 'diss' pia kwa staa Wema Sepetu na mwenzake Idriss Sultan, kupitia suala lao la ujauzito kunasa na kutoka.

Akiongea kwa hisia nzito, Mzungu Kichaa ambaye ana project kubwa ya video ambayo watu hawaifahamu kama wanavyofahamu mimba ya Wema, msanii huyo anayejinadi kuwa ni mbishi, ameelezea...

RICH MAVOKO: SIKUMBUKI HATA KUKUTANA NA GIGGY MONEY WALA KUTOKA NAYE KIMAPENZI

Msanii Rich Mavoko amekanusha taarifa za kuwahi kuwa na mahusiano na video queen Gigy Money, ambaye alisema alishawahi kuwa naye akiwa kidato cha pili.

Akiongea na East Africa Radio Mavoko amesema taarifa hizo si za kweli, na hakumbuki hata kuwahi kukutana naye mrembo huyo, achilia mbali kuwa na mahusiano naye. “Mi sijawahi kutoka naye, hata siku moja sijawahi, sina...

MIRROR: SIJUI KAMA WEMA ALISHAWAHI KUWA NA MIMBA

Msanii wa muziki wa bongo fleva Mirror, anayefanya kazi chini ya Wema Sepetu amesema hajui kama Wema alishawahi kuwa na mimba ila na yeye anasikia kwa watu na kwenye mitandao.

Msanii huyo ambaye anatamba na wimbo wake mpya Naogopa ambao ameimba na Baraka Da Prince ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha ENews kinachorushwa na EATV. Mirror amesema hafahamu chochote kuhusiana na jambo hilo na wiki 2 zilizopita nilikuwa...

KAJALA AJISHTUKIA KUZEEKA


KAJALA623
Staa wa Filamu Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa mambo ya kimjini kama wafanyavyo mastaa wengine kwa sasa ameyapa mgongo kwa madai kuwa anaona anaelekea kuzeeka. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Kajala alisema kila anapojiangalia anaona kabisa alivyokuwa zamani sivyo alivyo sasa hivyo ana...

WABOGOJO: JELA IMEMPENDA JACK CLIFF AMEZIDI KUWA MREMBO

Mkali wa mchezo wa sarakasi Bongo, Athumani Ford ‘Wabogojo’ anayefanya kazi za sanaa nchini China, amefunguka mambo kadhaa ya mwanamitindo Jacqueline Cliff ambaye amefungwa nchini humo kwa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya.

Wabogojo ambaye amekuja Bongo kwa ajili ya mapumziko mafupi, alisema kuwa mrembo huyo anaendelea vizuri sana gerezani na ni mtu ambaye ameshazoea hali ya huko na amekubaliana na ukweli halisi na amezidi...

NAY: MUZIKI WA SASA SIYO UWEZO ILA NI UJANJA UJANJA

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego amesema muziki wa sasa hivi ukileta ufundi na kujifanya unaweza sana kuchana na kuandika hautafika popote. Nay wa Mitego amedai ili kwenda kibiashara msanii unatakiwa kubadilika ili kwenda sambamba na mahitaji ya soko. “Muziki wa kipindi cha nyuma ulikuwa wa serious sana, ulikuwa unahitaji uumize sana kichwa ili ufanye kitu kizuri japo...

Thursday, February 25, 2016

SOMA SABABU 8 ZINAZOFANYA BINTI ASIOLEWE MAPEMA

Hizi Hapa ni Sababu Zitakazokufanya Wewe Binti Usiolewe Mapema

★1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!

★2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa kimakonde au kizaramo kwanza mnatutisha tu.

★3. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume, yani...

MATILDA: WEMA SEPETU RUDISHA PESA ZA NGUO UNAZO DAIWA NA MANYOTA

Aliyekuwa shabiki namba moja wa muigizaji wema sepetu(Team wema) , matilda au maarufu kama matikibokoyao ametoboa moja ya siri ya aliyekua boss wake kuwa huwa anakopa nguo kwa mfanyabiashara maarufu mjini aitwaye manyota, hivyo amemtaka msanii huyo mpenda kick mjini aende akalipe madeni ya watu.

Akiendelea kumwaga ubuyu, Yuda huyo hakumuacha nyuma muigizaji lulu michael na kudai kuwa...

Download: Stikinyiki ft Masholla_Niende Nawe


Download

Download: Mulla ft Barnaba_Njiwa


Download

Watch & Download: Nick Byser_Ni Mimi Tunda [Official Video]


Watch Here

JIBU LA IDRIS BAADA YA WEMA KUFUTA PICHA ZAKE KWENYE INSTAGRAM

Swali kubwa kwa sasa kwenye mitandao tofauti ya kijamii ni jee Wema Sepetu na Idris Sultan wameachana. Swali hili limeibuka baada ya staa Wema Sepetu kufutilia mbali picha za Idris Kwenye kurasa yake ya Instagram haijulikani ni nani kamkosea mwenzake lakini inaonekana kuwa ni Wema ndiye aliyechukia zaidi kiasi cha kuamua kufuta picha zote za Idris alizowahi kuzipost kwenye akaunti yake ya Instagram.

Shabiki alivyomuuliza Idris Kuhusu picha zake kufutwa sasa, hili jibu alilopewa...

NAY WA MITEGO AWACHUKULIA R/B WANAOMFUATILIA


nay987
MKALI wa Bongo Fleva, ambaye wimbo wake wa ‘Shika Adabu Yako’ umefungiwa na Baraza la Sanaa Nchini (Basata), Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, ameibuka na kudai kwamba ameamua kuchukua R/B kituo kidogo cha polisi ili kuwadhibiti watu anaodai wanamfuatilia kwa nia ya kumtendea mabaya.
 
“Kiukweli sina ugomvi na mtu na hii ni dunia haina siri, kama kuna mtu ananifanyia hivyo vitu basi itajulikana maana mimi nimeimba kama...

TEKNO AFUNGUKA UKWELI JUU YA MSICHANA KUTOKA TANZANIA GIGY MONEY

Kwa wale wanaofatilia stori za burudani Tanzania hasa ujio wa mwimbaji wa Nigeria Tekno kwenye show ya Dar es salaam walipata kilicho-trend kuhusu mwimbaji huyo staa wa hit single ya ‘wash‘ kuripotiwa kulala na Mrembo wa kitanzania aitwae Gigy Money.

Baada ya hizo taarifa kusambaa, Tekno alipost na kuandikiwa caption ya picha yake kwenye Instagram kwa Kiswahili akionekana kukasirishwa na kilichosambazwa na Mrembo huyu ambapo moja ya sentensi zilisomeka ‘umelala na...

ALIKIBA ATOA SABABU ZA KUTO KUOA MWANAMKE YEYOTE KATI YA WATATU ALIOZAA NAO

ali kiba65

Alikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao. Hitmaker huyo wa Lupela alikiambia kipindi cha Chill na Sky kuwa hakupenda kulazimisha iwe hivyo.

“Unajua hauwezi kumuoa mtu kama hamuelewani. Nia yangu ilikuwa ni kustick na kila mama wa mmoja toka nilipoanza. Lakini mambo yanaenda tofauti, huenda mnagombana anapata...

Wednesday, February 24, 2016

SOKWE AZALISHWA KWA NJIA YA UPASUAJI


Sokwe amezalishwa kwa upasuaji wa dharura kusini Magharibi mwa Uingereza katika sehemu uliyotengwa kwa kuhifadhia wanyama inayojulikana kama Bristol Zoo. Mama na mtoto wa sokwe huyo wanaendelea vyema ,sokwe huyo alizaliwa kupitia upasuaji usio wa kawaida baada ya mama yake kuonyesha...

ZIJUE TABIA ZA WATU WAREFU NA WAFUPI

Ewe mwanaume ukioa mwanamke Mrefu: 
jua kwamba utaoa mwanamke mpenda maendeleo, mchapa kazi na mkarimu ila hawajui mapenzi na ni wavivu kujiweka safi kimazingira.

Mfupi kiasi: 
jua ya kwamba utaoa mwanamke mchangamfu na mpenda elimu sana ila tu wanapenda mnongono na hawaridhiki.

Mfupi kabisa: 
Jua ya kwamba utaoa mwanamke msikivu na mcha Mungu ila ni...

Tuesday, February 23, 2016

Watch & Download: Rihanna ft Drake_Work [Explicit Video]


Watch Here

COPA AMERICA CENTENARIO 2016 TABLE GROUP STAGE

16_CAC_GEN_GGL
See table inside here...

Watch & Download: Puff Daddy ft Li'l Kim, Style P x King Los_Auction [Oficial Video]

puff-kim-auction

Watch Here

KIM KARDASHIAN AMWONESHA HADHARANI MTOTO WAKE WA PILI SAINT WEST


saint
Hatimaye Kim Kardashian amemuonesha kwa mara ya kwanza mtoto wake wa pili , Saint West. Kim Kardashian ameachia picha ya kwanza ya mtoto wake wa kwanza wa kiume na wa pili na Kanye west siku ya kuzaliwa ya baba yake, marehemu Robert Kardashian, Kupitia kwenye website yake ameandika...

Download: Pink x Mr Blue_Music


Download

Download: King Silva ft Barakah Da Prince_Mimi Na Wewe


Download

Download: Dogo Dee_Mtanyooka


Download

MTOTO WA KANYE WEST AIVURUGA AKILI YA WEMA SEPETU

Siku moja baada ya mastar wakubwa Kim Kardashian na Kanye West kupost picha ya mtoto wao wa pili aitwaye ‘Saint West’ ameonesha kumchanganya sana bidada Wema Sepetu kwa kile alichokifanya kwenye mitandao yake ya kijamii.

Wema Sepetu jana amepost picha zaidi ya tatu Instgram za mtoto huyo huku akionesha ni jinsi gani ametokea kumpenda mtoto huyo na kudai...

GIGY MONEY: HEMED PHD NA MAVOKO WAMEWAHI KUGOMBANA KWAAJIRI YANGU

Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Television, Gigy alisema kuna baadhi ya wasanii alishawahi kuwa nao kwenye mahusiano akiamini watamtoa kimaisha, lakini ilikuwa kinyume na kuishia kuchezewa tu.

"Mimi nilishawahi kudate na Hemed PHD nikiamni atanitoa nitatoboa, lakini wapi, Hemedi alishawahi kugombana na Rich Mavoko kwa ajili yangu, tena kipindi hiko niko...

WEMA AFUTA PICHA ZOTE ZA IDRIS KWENYE PAGE YAKE YA INSTAGRAM

Looks like there is trouble in paradise.. Katika hatua ambayo wengi hawakuitarajia kama ingetokea mapema hivi, Wema Sepetu na Idris Sultan wanaonekana kuuvunja uhusiano wao. Tetesi za kuwa uhusiano wao upo kwenye mawe zilianza baada ya ujauzito ambao Wema Sepetu alidaiwa kuwa nao kutoka.

Haijulikani ni nani kamkosea mwenzake lakini inaonekana kuwa ni Wema ndiye aliyechukia zaidi kiasi cha...

Saturday, February 20, 2016

HAWA NDIYO WACHEZAJI WA SIMBA WANAO KUMBUKWA MUDA WOTE

 Kikosi bora cha Simba cha muda wote
Wamepita wachezaji wengi ktkt timu ya Simba Sports Club tangu ianzishwe ila leo Smashkilimanjaro inakuletea Kikosi Bora cha muda wote cha Simba. Ntakutajia jina la mchezaji na historia yake ktk Club ya Simba.

1.Mohammed Mwameja
Alikuwa kipa tegemeo kwa kipindi chake cha uchezaji kiasi cha kuitwa Tanzania One, huyu ndiyo kipa aliyeifikisha Simba fainali ya CAF, mwaka 1993 na kufungwa na...

Download: Roma ft Walter Chilambo_Mtoto Wa Kigogo


Download

HII NDIYO SABABU ILIYO MFANYA YOUNG KILLER KUTAKA KUFUNGA NDOA

Young Killer na Halimaty

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amesema anaamini akifunga ndoa mambo yake mengi katika maisha yatafunguka.

Rapa huyo ambaye ameachia video ya wimbo ‘Popote’ akiwa amemshirikisha Juma Nature, ameiambia Bongo5 Ijumaa hii kuwa, tayari yeye na mchumba wake wamechunguzana na wameona wapo tayari kuanza maisha ya ndoa.

“Siwezi sema tunafunga lini ndoa, lakini muda wowote tunafunga ndoa,” alisema Young Killer. “Unajua ukifunga ndoa kuna... mambo mengi yanabadilika kwenye maisha, Mungu anafungua milango ya ridhiki, yaani kwa ufupi unapata neema fulani. Mimi na Halimaty tunajuana vizuri, hatujakurupuka kusema hivyo.,” aliongeza Young Killer.

Download: Moni Centrozone_Sembe Dona


Download

DOGO JANJA AZUNGUMZIA UHUSIANO WAKE NA UONGOZI WA TIP TOP KWA SASA

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Dogo Janja baada ya kusambaa audio yenye sauti yake katika mitandao ya kijamii akidai uongozi wake Tip Top Connetion unambania, amefunguka na kueza hali ilivyo. Rapa huyo ambaye hajatoa ngoma yoyote kwa kipindi cha mwaka mmoja, ameiambia Bongo5 kuwa amejaribu kumtafuta bosi wake Madee ili amweleze kwanini aliongea vile lakini...

EX WA AUNTY EZEKIEL AONYESHA JEURI YA PESA NCHINI UGANDA

Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua...

HII NDIYO KAULI YA WEMA BAADA YA TETESI ZA MKONGO NA KUBWAGANA NA IDRIS

Baada ya Tetesi za Kumpiga Idris Kibuti na Kuruka na Mkongo man leo kuzagaa huko mitandaoni, Wema Sepetu ameandika Haya:
Nilizaliwa peke yangu... Na siku nikifa nadhani hakuna mtu atakaeingia kaburini na mimi... Nitazikwa Peke yangu.... So i guess..

SHILOLE ALA ZA USO BAADA YA KUOPOA KIJANA MDOGO

Msanii wa bongo fleva asiyeisha vituko Shilole au Shishi Baby, ameijiwa juu na mashabiki wake na kumtaka kuacha tabia ya kupenda wavulana wadogo, huku wakimtuhumu kuwabemenda na kujidhalilisha.

Kwenye ukurasa wake wa instagram ambapo Shilole amepost picha akiwa na mwenzi wake huyo mpya ambaye pia ni mwanamuziki Nedy Music, mashabiki hao wamemtaka...

LADY JAYDEE ARUDI RASMI KWENYE MUZIKI

Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki baada ya siku 30 kuanzia leo.

Wiki kadhaa zilizopita Lady Jaydee aliwahi kuwaomba wapenzi wa muziki wake kuwa wavumilivu na kuwataka wasubiri kwani kwa kipindi hicho alikiri wazi kuwa hana...

NUHU MZIWANDA AOPOA MKE WA MTU

Huku Instagram Mambo ni moto..Watu washafukua file ya demu mpya wa Nuhu Mziwanda na kuliweka hazarani....Demu aja juu na kuwajibu waliofukua file.

Jina kamili anaitwa Zuhura abdul Sabil ,Huyo msichana kwanza kwao rujewa mbeya mama ake alikuwa diwani wa rjw, ni mke wa mtu mumewe anaitwa naseeb huko Oman alienda kumsimamia mumewe biashara yake, Alishawah kutaka...