skip to main |
skip to sidebar
MZUNGU KICHAA AWAPA DISS WEMA NA IDRISS SULTAN
Staa
wa muziki Mzungu Kichaa, amevunja ukimya kuligusia suala ambalo pengine
linawaumiza wasanii wengi, ikionekana kuwa ni 'diss' pia kwa staa Wema
Sepetu na mwenzake Idriss Sultan, kupitia suala lao la ujauzito kunasa
na kutoka.
Akiongea
kwa hisia nzito, Mzungu Kichaa ambaye ana project kubwa ya video ambayo
watu hawaifahamu kama wanavyofahamu mimba ya Wema, msanii huyo
anayejinadi kuwa ni mbishi, ameelezea... kusikitishwa kwake kwa mastaa hao
ambao wanatumia muda wao mwingi kuleta atensheni kwa mashabiki badala
kufanya shughuli zao binafsi za kila siku.
Mzungu
Kichaa pia amekanusha suala la video yake kukosa kiki kutokana na
kumhusisha Dir Adam Juma ndani yake, na kuifanyia hapa hapa nchini
akisema kuwa Dir Adam ana kila sababu ya kupewa hashima yake kutokana na
ubora wa kazi zake na si maelezo mengine yaliyopotofu.
0 comments:
Post a Comment