skip to main |
skip to sidebar
JUX: JACK CLIF YUPO "OK" HANA TATIZO
Ikiwa ni zaidi ya miaka kadhaa tangu mrembo Jack Clif kukamatwa china,kuna
vitu vingi ambavyo bado havijajulikana, lakini kumbe jux huwa anafanya naye
mawasiliano.
‘’Huwa tunafanya mawasiliano ingawa sio mara kwa mara ..she is okay..yuko
sawa..nimewasiliana naye...
kama miezi miwili iliyopita ..siwezi kuongelea
sana vitu vingine..hata hivyo yeye mwenyewe hapendi niwe naongea ongea na
watu kuhusu maisha yake’’Jux
0 comments:
Post a Comment