skip to main |
skip to sidebar
JIBU LA IDRIS BAADA YA WEMA KUFUTA PICHA ZAKE KWENYE INSTAGRAM
Swali kubwa kwa sasa kwenye mitandao tofauti ya kijamii ni jee Wema Sepetu na Idris Sultan wameachana. Swali hili limeibuka baada ya staa Wema Sepetu kufutilia mbali picha za Idris Kwenye kurasa yake ya Instagram haijulikani ni nani kamkosea mwenzake lakini inaonekana kuwa ni Wema
ndiye aliyechukia zaidi kiasi cha kuamua kufuta picha zote za Idris
alizowahi kuzipost kwenye akaunti yake ya Instagram.
Shabiki alivyomuuliza Idris Kuhusu picha zake kufutwa sasa, hili jibu alilopewa...
0 comments:
Post a Comment