Monday, October 31, 2016
KALA JEREMIAH: WANANDOTO RMX WASHIRIKI 8 WAMESHA INGIZA VOCAL
Takriban miezi miwili sasa imepita tangu msanii wa Hiphop Kala Jeremiah alipotoa ahadi ya kufanya remix ya wimbo wake wa “Wanandoto” na mashabiki zake wenye vipaji na kutoa tamko la kwamba mashabiki hao wawe wanajirekodi video fupi huku wakiimbia beat ya Wanandoto kwa kutumia mistari yao binafsi na kupost katika kurasa zao za instagram na kuweka hash tag ya Wanandoto (#Wanandoto).
Ukimya umetawala juu ya suala hilo, ndio sababu zilizofanya mwandishi kupiga story na mkali huyo na kutaka kujua uliishia wapi mchongo huo.
“Project ya wanandoto remix inaenda vizuri na...
Labels:
HABARI & UDAKU
HAMISA MABETO: SIJAWAHI KUWA NA URAFIKI WALA UADUI NA ZARI
Hamisa Mobeto, amekanusha tetesi zinazoenea mitandaoni kuwa ana uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamuziki Diamond Platnumz.
Kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm juzi Jumamosi, Hamisa amedai kuwa anamfahamu mpenzi wa Msanii huyo Zari kwa kuwa ni Mzazi mwenza wa Platnumz,
“Unajua huwezi kusema mi na Zari tuko sawa au hatupo sawa kwa sababu...
Labels:
HABARI & UDAKU
IYANYA ASAINI MKATABA RASMI NA MAVIN YA DON JAZZY
Akiwa anamtambulisha rasmi Iyanya kwenye label yake, Don Jazzy ameandika kwenye Instagram: The SUPREME MAVIN DYNASTY is pleased to welcome @Iyanya to the ever growing Mavin Family. Pls join us to welcome him and let the world know that we #Up2Sumting. #MavinActivated.
jiunga Mavin ya Don Jazzy
Akiwa anamtambulisha rasmi Iyanya kwenye label yake, Don Jazzy ameandika kwenye Instagram: The SUPREME MAVIN DYNASTY is pleased to welcome @Iyanya to the ever growing Mavin Family. Pls join us to...
Labels:
HABARI & UDAKU
HUU NI UJUMBE WA FRANCIS CHEKA JUU YA KIFO CHA THOMAS MASHALI
Wiki hii imeanza kwa huzuni kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi nchini baada ya kifo cha bondia Thomas Mashali hasa baada ya kusikia taarifa za chanzo cha kifo hicho. Mmoja wa watu walioumizwa na taarifa hizo ni Francis Cheka. Kupitia mtandao wa Instagram, Cheka ameandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
WIZKID ASITISHA MKATABA WAKE WA KUWA BALOZI NA GLO
Tarahe 28 Oktoba, Wizkid aliweka wazi kuhusu kuachana na kampuni hiyo ya simu.
Kwenye account yake ya twitter wiz ameandika:
Officially no longer with GLO, it was nice working with the amazing people at the company, wish the company...
Labels:
HABARI & UDAKU
HAMISA MABETO: VIDEO YA SALOME NDIYO NILIYO LIPWA PESA NDEFU KULIKO VIDEO ZOTE
“Siwezi sema ni kiasi gani ila ni a lot of money” alisema Mobeto. Katika Hatua nyingine modo huyo wa kimataifa ameitaja Video ya Barnaba ‘Magube gube’ kuwa ndio...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO TAARIFA YA KIFO CHA BONDIA THOMAS MASHALI
Bondia Thomas Mashali ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kupigwa na watu baada ya kudaiwa kuitiwa kelele za mwizi, kwa mujibu wa taarifa ya mtu wake wa karibu.
Mashali aliyezaliwa kwa jina Christopher Fabian Mashale aliuawa baada ya kupigwa akiwa huko Kimara jijini Dar es Salaam. Inasemekana wakati akinywa pombe, ulizuka ugomvi na mtu mmoja ambaye...
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA SEPETU AMWANDIKIA UJUMBE HUU MISS TANZANIA 2016
You deserve it… And I have a very good feeling about Your performance in the Miss World Beauty Pageant…. You will do...
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, October 30, 2016
JUA CALI: GENGE BADO IPO JUU
Msanii jua cali kaelezea kuhusu kundi la genge na ukimya wake wa muda kunako gemu na kudai kuwa Genge bado ipo na haitokaa kushuka, Msanii wa kenya Jua cali ameeleza kuwa ukimya wake ulikua wamaandalizi ya album kwa hiyo kwa sasa tutegemee mengi kutoka kwake huku akibainisha yeye ajashuka kimuziki.
Jua Cali anasema bado yuko juu na kwakua yuko juu basi na genge Bado iko juu, Japo kunawengine wametawanyika ila bado yupo na mambo...
Labels:
HABARI & UDAKU
MR BLUE: SIJAWAHI KUPATA TUZO YOYOTE KTK MUZIKI
Msanii wa Bongo Fleva nchini Mr. Blue ameweka bayana kwamba pamoja na kukubalika na mashabiki wengi na kuwa kwenye tasnia ya muziki kwa muda mrefu hajawahi kupata tuzo hata moja ya kutambua mchango wake kwenye muziki.
Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live (FNL) kinachorushwa na EATV, Mr. Blue amesema anatambua umuhimu wa msanii kupata tuzo ila kwa bahati mbaya yeye...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND ATIKISA NCHINI MALAWI APIGA SHOW SAA KUMI NA MBOLI ASUBUHI
Licha ya mvua kubwa kunyesha, Diamond amefanikiwa kupiga show iliyofana kwenye Sand Music Festival iliyofanyika kwenye fukwe za Living stone Jumamosi hii. Mpiga picha wake, Kifesi amedai kuwa mvua kubwa ilinyesha na...
Labels:
HABARI & UDAKU
VANESSA MDEE ABADILI MWONEKANO NA KUONEKANA HIVI
Labels:
HABARI & UDAKU
LULUDIVA: NILIGAWA PENZI KWA SH MIL 1.5 ILI KUMUUGUZA MAMA YANGU
Lulu aliongeza kuwa wakati akifanya tukio hilo alikuwa ni msichana mwenye umri wa miaka 18, ambaye hakuwa na kazi na ilihita kiasi cha shilingi milioni moja na nusu kwa ajili ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
STORY: NILIACHA USISTER NIKAWA MCHAWI 6-7
ILIPO ISHIA: “Baba yako alianguka chooni, akatokwa mapovu kinywani, alipokimbizwa hospitali akaaga dunia kabla hata ya huduma, nimeshangaa sana. Muombee baba yako, kuna mkono wa mtu na huyo mtu mwenyewe atajulikana siku si nyingi.” “Eti mama ni kweli?” SASA ENDELEA…
Mama alibaki kimya, machozi yakimchuruzika. Nilihisi uchungu ambao sikuwahi kuupata tangu kuzaliwa. Nilimkazia macho mabaya mama. Kama angekuwa na rika langu ningemvaa mpaka chini. Niliwaza niondoke bila kumaliza msiba, lakini...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
Saturday, October 29, 2016
ABBY SKILLS AWASHUKURU ALIKIBA NA MR BLUE
Msanii
wa Bongo Fleva Abby Skills amesema anawashukuru sana wasanii Ali Kiba
pamoja na Mr. Blue kwa kumrejesha kwenye game la muziki baada ya kupotea
kwa miaka minne mfulilizo, Abby ameyasema hayo alipokuwa katika kipindi cha Friday Night Live
kinachorushwa na EATV ambapo pia alitambulisha ngoma yake mpya na video
yake inayokwenda kwa jina la ‘Averina’ ngoma ambayo amewashirikisha Ali
Kiba pamoja na Mr. Blue.
“Ninawashukuru sana Ali Kiba pamoja na Mr. Blue kwa kunirudisha
kwenye game , ni watu ambao tumekuwa pamoja na wameisapoti sana...
Labels:
HABARI & UDAKU
LINAH AMJIBU AMINI NA KUACHA SWALI ZITO
Baada ya Amini kudai msanii mwenzake Linah Sanga amebadilika na kupoteza ule uimbaji wake wakuvutia, Linah amefunguka na kuizungumzia kauli hiyo, Muimbaji huyo ambaye aliwahi kufanya vizuri na wimbo ‘Ole Themba’ amesema kwa sasa yeye yupo juu zaidi ya Amini.
“Unajua soko letu lilivyo linabadilika badilika na hii ni biashara kusema nifuate ‘Ulinah’ sana naweza nikapotea kwa sababu watu walianza kuongea toka kwenye ‘Ole Themba’ lakini ‘Ole Themba’ ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
NYANDU TOZZY AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA
Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Kundi la BOB, Nyandu Tozzy amefunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake wa muda mrefu, Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Kiboko ya mabishoo’ amekuwa ni msanii wa pili ndani ya mwezi huu kufunga ndoa baada ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
MWANA FA KUJA NA COLLABLE HII KWENYE WIMBO WAKE MPYA
Mtangazaji wa kipindi cha Ngazi kwa Ngazi, Salama Jabir amemwaga mchele wa ujio wa wimbo mpya wa Mwana Fa, Salama Jabir aliwadokeza watazamaji wa kipindi chake kuhusu ujio wa wimbo mpya wa mwana Fa ambao ni collabo na mwanadada Vanessa Mdee.
“Mwana FA hivi karibuni atatuletea dude lake moja hivi, natoa za chini ya carpet amemshirikisha Vee Money, litakuwa linaitwaa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MR. BLUE: MIMI NDIYE RAPA PEKEE NINAYESHINDANA NA WASANII WANAO IMBA
Mr Blue amedai kuwa yeye ndio rapper pekee anayeshindana na wasanii wanaoimba, Rapper huyo amesema hayo kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV wakati akifafanua sababu ya kutumia aka nyingine siku za hivi karibuni ‘Most Expensive MC’.
“Unajua mimi ndio rapper pekee ninayeshindana na wasanii wa kuimba. Ukiachilia mbali kwa mali nazomiliki lakini hata mashairi yangu, ninaweza nikakaa mwaka mzima nikatoa...
Labels:
HABARI & UDAKU
BIBI KIZEE ALIYE JICHONGEA JENEZA AFARIKI DUNIA
Mkazi wa Kijiji cha Lindusi Peramiho mkoani Ruvuma aliyejichongea
jeneza, Scholastica Mhagama amefariki dunia kwa ugonjwa wa pumu, Mapema mwaka huu wakati alipohojiwa, bibi huyo alitaja
sababu za kujichongea jeneza kabla ya kifo kuwa, ni kuhofia kuzikwa
kama mnyama baada ya kuwa na ugomvi wa mara kwa mara na kaka zake.
Kaka yake mkubwa aliyekuwa akimhudumia kabla ya kufariki dunia, Felix Mhagama (82) alisema dada yake alikufa Jumanne ya wiki iliyopita kwa ugonjwa huo, Mhagama alisema licha ya kipindi cha uhai wa dada yao, kugombana mara kwa mara walikuwa...
Kaka yake mkubwa aliyekuwa akimhudumia kabla ya kufariki dunia, Felix Mhagama (82) alisema dada yake alikufa Jumanne ya wiki iliyopita kwa ugonjwa huo, Mhagama alisema licha ya kipindi cha uhai wa dada yao, kugombana mara kwa mara walikuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
LORD EYES: RAY C BADO ANACHUMBA CHAKE
Rapa
Lord Eyes ambaye ni mmoja wa wasanii wa kundi la Weusi amefunguka na
kusema msanii Ray C bado ana chumba chake kwenye muziki na kusema yeye
bado anamuombea kwani kwa matatizo aliyonayo kwani yale ni kama maradhi
hivyo hayaponi kwa siku moja.
Lord Eyes ambaye kwa sasa amepumzishwa kwenye kundi hilo na kusema kuwa
mpaka sasa yeye hawasiliani wala kuongea na Ray C na kusema ila
anamuombea Mungu apone na...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, October 28, 2016
Z ANTO: UKIWA NA SIX PACKS UNATOKA KIMUZIKI
Msanii
Z Anto ambaye amewahi kutamba kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva
amefunguka na kusema muziki wa bongo fleva sasa hivi ni rahisi sana
kwani msanii akiwa na 'Six Pack' harafu akaimba imba tu anatoka kimuziki
tofauti na zamani.
Z Anto alisema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio
hivi karibuni alipokuwa kwenye heshima ya bongo fleva na kusema hiyo
kwake si changamoto yeye...
Labels:
HABARI & UDAKU
HIVI NDIVYO AUNT EZEKIEL ALIVYO SHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Labels:
HABARI & UDAKU
SHAMSA FORD: MIMI NI MWANAMKE NISIYEWEZA KUFICHA HISIA ZANGU
Malkia huyo wa filamu ambaye alifunga ndoa miezi mitatu iliyopita na mfanyabishara wa maduka ya nguo Chidi Mapenzi, amesema amekuwa akijiachia katika mitandao ya kijamii kueleza hisia zake juu mume wake kutokana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
ALI KIBA: WALIOSHINDA TUZO ZA MTV MAMA WALISTAHILI USHINDI
Mkali wa wimbo ‘Aje’ AliKiba amefunguka na kuzungumzia ushiriki wa watanzania kwenye tuzo za MTV Mama Awards 2016. Muimbaji huyo ambaye alikuwa miongoni kati ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo hizo na pia aliwania tuzo ya ‘Best Collaboration’ ya wimbo wa Unconditionally Bae alioshirikiana na Sauti Sol, amesema watanzania walijitahidi lakini walizidiwa na wasanii wa nje ndiyo maana wakashindwa kutamba.
“Katika ushindani kuna kushinda na kushindwa sisi hatusemi kuwa tumeshindwa na naamini Tanzania ina vipaji sana na kila msanii anajitahidi kufanya kwa uwezo wake ili...
Labels:
HABARI & UDAKU
BEN POL: SI LAZIMA KUMSHIRIKISHA MTU ILI WIMBO UWE MKUBWA
Mkali wa muziki wa RnB, Ben Pol amefunguka sababu inayoweza kuufanya wimbo ukawa mkubwa, Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa wimbo ukiwa mzuri ni rahisi kuhit hata usipomshirikisha msanii mkubwa.
“Kinachoboost wimbo si msanii bali ni wimbo wenyewe. Ukiangalia ‘Moyo Mashine’ nimeimba mwenyewe umekuwa mkubwa, ‘Sofia’ niliimba mwenyewe lakini...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND, SAUTI SOL, OMMY DIMPOZ NA KING KIBA KUWANIA TUZO KIPENGELE KIMOJA
Waandaaji wa tuzo za mitindo za Uganda, Abryanz Style and Fashion Awards wametangaza majina ya mastaa watakaowania vipengele mbalimbali.
Wakali wa muziki wa Afrika mashariki, Diamond, Alikiba, Ommy Dimpoz na Sauti sol wamekutana kwenye kipengele kimoja cha ‘Most stylish artiste’ Huku Juma Jux, Nedy Music na Idris Sultan wakikutana kwenye ‘Male Most dressed Celebrity’
Jokate Mwegelo, Wema Sepatu na Wolper Stylish watachuana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
ALIKIBA: SIPENDI KIKI NA SITO FANYA KIKI KAMWE
Hitmaker wa ‘Aje’ Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake. Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Clouds TV.
Kwanza kwangu mimi hicho kitu hakipo, sijui kusema mimi nina hela. Na kuna watu wengine wanaongopa kwa kusema uongo tu kwasababu watanzania tumeshakubali kupelekwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAJIANDAE YA OMMY DIMPOZ NA ALIKIBA KUTOKA SOON
Amefunguka kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV mfalme wa Bongo Fleva Alikiba kuhusiana na ujio wa ngoma mpya ambayo kashirikishwa na Omary Nyembo almaarufu kama Ommy Dimpoz.
kama unakumbuka vizuri ngoma ya “Nai Nai” ndio ngoma ambayo ilimtambulisha Ommy Dimpoz katika game ya music, kutokana na ukali wa ngoma hiyo na mapokezi ikiwa ngoma hiyo...
Labels:
HABARI & UDAKU
MR BLUE AAMUA KUJIITA NYANI MZEE NA KUACHANA NA SIMBA
Mr Blue amelitaja jina lake jipya analolitumia baada ya lile la ‘Simba’ kuchukuliwa na Diamond Platnumz, Rapper huyo amesema kuwa kwa sasa anatumia jina la ‘Nyani Mzee’ kama jina lake jingine la utani.
“Actually kwa sasa jina la Simba nimeliacha ila kwa sasa natumia jina la ‘Nyani Mzee’ nikimaanisha nimekwepa mshale mingi. Nasubiri...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO KAULI YA SHILOLE BAADA YA LINAH KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE
Ni katika mtandao wa Instagram ambako mwanadada Linah aliamua kukata mshipa wa aibu kwa muda na kuamua kuposti picha inayomuonyesha akila busu kali kutoka kwa mpenzi wake mpya, Shilole hakutaka kusubiri hata dakika ipite baada tu ya kukutana na picha hiyo, na kuamua kuacha ujumbe mzito kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
JAH PRAYZAH AMSHUKURU DIAMOND KWA KUMTAMBULISHA KWENYE RAMANI YA AFRIKA
Ukishikwa mkono na waliokutangulia na wewe shika wengine walio nyuma yako. Davido kupitia Number One Remix, alimtambulisha Diamond kwenye ramani ya Afrika. Baada ya miaka michache, Diamond pia amefanikiwa kuwatambulisha zaidi wasanii wengine kwenye jicho pana la muziki wa bara hilo.
Miongoni mwao ni Akothee wa Kenya na Jah Prayzah wa Zimbabwe.
Jina la Prayzah limekuwa kubwa nje ya Zimbabwe mwaka huu baada ya kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake Watora Mari. Kama hiyo haitoshi, muimbaji huyo hivi karibuni...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAULI YA MADEE JUU YA KASSIM MGANGA HUENDA AKARUDI TIP TOP
Msanii na gwiji wa tungo za mahaba kassim mganga uenda akasainiwa na Tiptop connection kwa kuwa ameshafanya mazungumzo ya awali na Madee ivyo anasubiri mazungumzo ya mwisho na manager wa kikosi hicho Babutale.
Madee akiongea katika kipindi cha ‘street joint’ ya Dizzim, amefunguka kuwa kassim alimfuata wakazungumza kuhusu yeye kujiunga na team hiyo, lakini hakuweza kumpa majibu yamoja kwa moja. Madee anasema bado ajalifikisha hilo kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, October 27, 2016
JOKATE ATAJA SABABU ILIYOFANYA TZ KUKOSA TUZO ZA MTV
Super business woman, Jokate Mwegelo aka Kidoti amefunguka sababu anayodhani ilifanya wasanii wa Tanzania washindwe kushinda tuzo za MTV MAMA zilizofanyika Jumamosi iliyopita nchini Afrika Kusini.
Mwanamitindo huyo alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa likiuliza “Je ni kweli...
Labels:
HABARI & UDAKU
NDOA YA TUNDA YAMFANYA DOGO JANJA ATAMANI KUOWA
Usishangae pale utakapopokea ujumbe wa Dogo Janja akikuomba mchango wa harusi (iwapo atafanya hivyo). Ni kwasababu muimbaji huyo wa Kidebe anaweza kuwa ameshawishika kujiunga na kambi ya wavaa pete kwenye kidole cha chanda – asante kwa ushawishi alioupata kutoka kwa Tundaman.
Tunda aliuaga ukapera wiki iliyopita katika harusi iliyofanyika huko Morogoro na mchakato mzima ulimshawishi Janjaro kufikiria kufanya kitu kama hicho. Akiongea na Clouds TV, Madee alidai kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
DYNA NYANGE: NITAFANYA KAZI NA LEBO ITAKAYO KUBALI MASHARTI YANGU
Dayna Nyange amefunguka kuwa atakuwa tayari kuwa chini ya lebo yoyote endapo watakubaliana na masharti yake. Hitmaker huyo wa ‘Komela’ amemuambia mtangazaji wa Maisha FM ya Dodoma, Silver Touchez “Kikubwa nachoangalia ni sababu, kabla sijajiunga na lebo yoyote lazima niwe na vitu vyangu ambavyo navitaka na wao wanavitu vyao wanavyotaka.”
“Record label ni studio tu ambao watu watakuwa wanasimamia kazi zangu ni kitu ambacho mimi mwenyewe ninaweza nikaenda...
Labels:
HABARI & UDAKU
SOGGY DOGGY AMFANANISHA COUNTRY BOY NA NGWEA
Rapa mkongwe Tanzania Soggy Doggy amefunguka na kusema kuwa vijana kwenye muziki wa hip hop saizi wanafanya vizuri na ili uende nao sawa lazima upite njia wanazopita wao.
Hii inamfanya hata yeye ameshindwa kuachia kazi mpya mpaka akamilishe video kabisa, Soggy Doggy alisema hayo jana kutoka Mabibo Mwisho Jijini Dar es Salaam,
Soggy anasema kwa wasanii wa hip hop sasa akimsikiliza rapa...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO KAULI YA WEMA SEPETU KWENYE BIRTHDAY YA AUNT EZEKIEL
Ilifahamika kuwa mastaa wawili wa Bongo Movie Wema Sepetu na Aunty Ezekiel hawana mahusiano mazuri, na hiyo ni baada tu ya mahusiano ya kimapenzi ya Diamond Platnumz na mwanadada Wema Sepetu kusitishwa na kutokea hali ya sintofahamu kwa mwanadada Aunty Ezekiel atajikita zaidi na upande gani ikiwa yeye ni baby mama wa dancer wa Diamond Mose Iyobo.
Unachotakiwa kukifanya ni kufuta kabisa fikra hizo katika kichwa chako, kwasababu madame Wema Sepetu ameamua kukata utepe kuhusiana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)