DIAMOND: SICHUKUI WASANII WACHANGA MPAKA RAYMOND NA HARMONIZE WAKUWE
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika
wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa
nyumbani kwanza.
Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wakue vizuri
0 comments:
Post a Comment