skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA COLLABLE NA USHER RAYMOND
Spidi ya Diamond kulitafuta tobo la Marekani inatisha. Akiwa na collabo
kibindoni na French Montana, Yo Gotti na Ne-Yo ambaye watakuwa na ziara ya
pamoja Uingereza Disemba mwaka huu, muimbaji huyo wa ‘Salome’ ametoa hint
ya mradi mwingine ujao na role model wake mwingine – Usher.
Ametoa hint hiyo Ijumaa hii wakati akimpongeza muimbaji huyo wa ‘No Limit’
katika siku yake ya kuzaliwa.
“Happy Birthday Bro… Can’t wait for our Big day! @usher,” ameandika kwenye...
Instagram.
Kwa muda mrefu Diamond amekuwa akiwataja Ne-Yo na Usher kuwa ni watu
anaowaangalia sana.
0 comments:
Post a Comment