Pages

Subscribe:

Saturday, October 15, 2016

LIL WAYNE HAAMINI KAMA KUNA UBAGUZI WA RANGI NCHINI MAREKANI

Rapper wa Marekani, Lil Wayne bado haamini kama kuna ubaguzi wa rangi nchini humo.Wakati anapiga promo ya kitabu chake kipya Gone ‘Til November: A Journal of Rikers Island Lil wayne ameelezea mawazo yake kuhusiana na inquisitive wa rangi Marekani.
 
Lil wayne ameelezea jinsi polisi ambao sasa wanashutumiwa kuwaua watu weusi walivyomsaidia alipojipiga risasi wakati ana miaka 12, “He brought me to the hospital room,” Wayne alifunguka. “He stood there and waited until the doctor said...
‘He’s gonna make it.’ He said, ‘Don’t worry. My name’s Uncle Bob.’ He was white as snow. Them motherfu**ers that hopped over me was blacker than me. Yeah, he was a cop and my life was saved by a white man. I don’t know what racism is. I know a good motherfu**er named Uncle Bob, though.”

0 comments:

Post a Comment