Pages

Subscribe:

Saturday, October 15, 2016

BELLE 9 AUPIGA VIJEMBE MUZIKI WA SINGELI

Belle 9 amesema hafikirii kabisa kufanya muziki wa Singeli. Muimbaji huyo wa R&B amesema huo ni muziki wa kupita na katu hauwezi kudumu. Alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa swali na mtangazaji iwapo atafanya muziki huo mashabiki wakimtaka. 

“Sitegemei,” alisema Belle9 “Hata kama nitafanya, sitofanya kama release song sababu Singeli ni muziki fulani hivi ambao unapita, ni bubble gum music. Sasa hivi watu wanaushabikia lakini...
itafika time utapita, sio muziki wa kustick.”

0 comments:

Post a Comment