“Ninamshukuru Mungu, ninapata sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki na
ninaahidi kuendelea kufanya mambo mazuri zaidi na ninawaomba...
wazidi kuniunga mkono” Amesema Rayvanny.
Kuhusu ngoma ya Salome, Diamond amesema Rayvanny alipopewa ajaribu kuingiza sauti alionekana kuitendea haki zaidi, na ndiyo maana akaamua afanye naye ngoma hiyo badala ya mtu mwingine kutoka katika kampuni yao ya WCB.

0 comments:
Post a Comment