“Nina nyimbo nimefanya na maproducer wengine lakini nafanya nyimbo nyingi na Maximizer kwa kuwa tumetoka pamoja kwahiyo nikienda naye mimi nakuwa nasimama na Max naye anasimama na pia ni mtu ambaye ananipatia...
sana. Ninaweza nikaenda kufanya kazi sehemu nyingine lakini nikiwa na Max nakuwa poa,” amesema Chemical Rapper huyo ameongeza kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na Max kama baadhi ya watu wanavyofikiria.
0 comments:
Post a Comment