Pages

Subscribe:

Tuesday, November 1, 2016

BARUA ILIYO ANDIKWA NA 2PAC MWAKA 1995 KUUZWA MILIONI 375


Ni zaidi ya miaka 20 tangu kutokea kwa kifo cha rapper mkongwe, barua ya 2pac ambayo iliandikwa na 2pac mwenyewe inatarajiwa kuuzwa kwa mtonyo wa $172,750.

Kupitia kauli iliyotolewa na kampuni ya Goldin Auctions, wamesema kwamba barua hiyo ambayo iliandikwa na 2pac ni moja ya vitu kumi ambavyo vilikuwa vikimilikiwa na 2pac ambapo vyote hivyo vitauzwa kwa...
mtonyo wa $206,625
Tupac Shakur Letter
 “This remarkable letter from Tupac exemplifies what’s thrilling about the auction business as this recently discovered find caught the eye of several serious and well-heeled bidders who went back and forth for hours until this record-setting price was reached,We congratulate all of our consigners and bidders on being part of this historic night.” alisema Mmiliki wa kampuni hiyo Ken Goldin.

Barua hiyo ilikuwa ni ya ujumbe kwenda kwa Nina Bhadreshwar ambaye alikuwa anafanya kazi Death Row Records, barua hiyo iliandikwa mwaka 1995.

“I did not begin thug life, I just personified it. I couldn’t stop it if I tried but in my heart the thug ni**a has advanced 2 be a Boss Playa. So No Thug Life is Not Dead but in my heart it is. If U are sharp u will learn from this.”

0 comments:

Post a Comment