Pages

Subscribe:

Tuesday, November 1, 2016

TARAJ WA EMPIRE (COOKIE) AIKUBALI HOW LONG YA DAVIDO

Muigizaji wa Marekani, Taraj P.Henson au maarufu kama Cookie kupitia tamthilia ya ‘Empire’ ameinyooshea mikono juu ngoma mpya ya Davido.

Kupitia Instagram yake, Taraj ameandika, “Anybody who knows me I love music, especially world music!!!. Thank you tymwallavcehair for turning me on to another heater!!!” huku akiweka...
cover ya ngoma hiyo ya Davido aliyomshirikisha Tinashe.

Davido pia alijibu “Big ups Taraji P. Henson Let me bring that African heat to Empire!! One episode is cool for me Lol.”
Siku chache zilizopita, wasanii wa kundi maarufu la ColdPlay walionesha kuikubali ngoma nyingine ya ‘Coolest Kid in Afrika’ ambayo pia ipo kwenye EP mpya ya Davido ‘Son of Mercy’

0 comments:

Post a Comment