Jambo hilo limefanya mashabiki waongee maoni yao, huku wengine wakisema Hamisa ameguswa na hivyo amemjibu Diamond baada ya...
Thursday, November 30, 2017
HAMISA MOBETTO AGUSWA NA NIACHE YA DIAMOND PLATNUMZ
Jambo hilo limefanya mashabiki waongee maoni yao, huku wengine wakisema Hamisa ameguswa na hivyo amemjibu Diamond baada ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
FEROOZ: WIMBO WANGU MPYA UMENIPA MATUMAINI MAPYA
Ferooz akipiga stori na mwandishi wa tovuti ya EATV amesema kuwa watu wake wa karibu wengi wao walimtenga na kumuweka pembeni na kudai hata...
Labels:
HABARI & UDAKU
STORY: NALIA NA NAFSI YANGU (Sehemu Ya Nne) 04
Mtunzi: Agatha Francis
Au wewe ndiye mtu unayejua kulea watoto wa wenzio kabla huzaa wa kwako, kaka yangu vipi wewe", Mke wa Baraka aliongea maneno yale kiasi kwamba mumewe na nduguye Mark walibaki wakishangaa, mama Careen machozi yalimtoka tu hakuweza ongea chochote kile lakini mkewe Baraka hakujali yote hayo aliendelea.
"samahani mama Careen, kaka yangu najua ananiheshimu na kunisikiliza hawezi kuoa mwanamke ambaye tayari umezaa vipi mumeo akirudi si na wewe...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
TEGEMEA COLLABLE HII KUTOKA KWA HARMONIZE NA SARKODIE
Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Harmonize ameingia location kufanya video na rapper kutoka nchini Ghana, Sarkodie.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Shulala’ ambayo amemshirikisha Korede Bello kutoka Nigeria amezidi kuonyesha njaa ya kutusua kimataifa. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ame-share...
Labels:
HABARI & UDAKU
ENOCK BELLA AFUNGUKA UKWELI JUU YA MAROMBOSO KUZUIWA NA WCB KUPIGA SHOW
Mwisho mwa weekend iliyopita kundi la Yamoto Band lilitumbuiza katika tamasha la Fiesta lakini msanii Maromboso hakuwepo, sasa Enock Bella amejibu kuhusu hilo.
Enock amekanusha uvumi kuwa Maromboso alizuiwa na uongozi wake wa sasa, WCB kuhudhuria show hiyo ambayo Aslay ndiye aliyewaita Enock na Beka Flavour jukwaani,
Muimbaji huyo ameendelea kwa kusema Maromboso alikuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA BARAKAH SIKU YA KUZALIWA ALIKIBA
Kwa muda mrefu sasa wadau wengi wa muziki wa Bongo Fleva wamekuwa wakiamini kuwa Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Barakah The Prince na mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba wana bifu au tofauti miongoni mwao baada ya Baraka The Prince kujitoa kwenye lebo ya RockStar4000 ambayo ipo chini ya Alikiba na Meneja wake Seven Mosha.
Ukweli ni kwamba Barakah The Prince hana tofauti/bifu yoyote na Alikiba kama ambavyo mashabiki wengi wa Alikiba na wadau wa muziki walivyokuwa Hitmaker huyo wa Sometimes kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MWAMUZI AVUNJA HISTORIA YA MIAKA 15 YA LEBRON JAMES
CLEVELAND, OH - NOVEMBER 01: LeBron James #23 of the Cleveland Cavaliers celebrates a second half basket while playing the Indiana Pacers at Quicken Loans Arena on November 1, 2017 in Cleveland, Ohio. Indiana won the game 124-107.
NOTE TO USER: User expressly acknowledges and agrees that, by downloading and or using this photograph, User is consenting to the...
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, November 29, 2017
STORY: NALIA NA NAFSI YANGU (Sehemu Ya Tatu) 03
sehemu ya:3
Mtunzi: Agatha Francis
"mbona unagubu sana mke wangu jamani", alipofika hapo aliona sura ya mke wake ikibadilika na kwakua alimjua mke wake ni mkorofi ilibidi aanze kujichekesha akisema"mke wangu bhana, muache bwana shemeji achukue jiko ndiyo mda wake sasa", mke wake hakujibu jibu kwani maneno ya mume wake hakuyapenda.
Basi mambo muhimu ya nyumbani yalifanyika siku ile nakusubiri kesho ambayo Mark alihaidi atapeleka mke kwa dada yake. Siku ilipofika mkewe Baraka...
Mtunzi: Agatha Francis
"mbona unagubu sana mke wangu jamani", alipofika hapo aliona sura ya mke wake ikibadilika na kwakua alimjua mke wake ni mkorofi ilibidi aanze kujichekesha akisema"mke wangu bhana, muache bwana shemeji achukue jiko ndiyo mda wake sasa", mke wake hakujibu jibu kwani maneno ya mume wake hakuyapenda.
Basi mambo muhimu ya nyumbani yalifanyika siku ile nakusubiri kesho ambayo Mark alihaidi atapeleka mke kwa dada yake. Siku ilipofika mkewe Baraka...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
ETO'O AFUNGUKA BAADA YA TAARIFA KUSAMBAA KUWA AMELIPIA NDEGE IWARUDISHE WAHAMIAJI WA CAMEROON WALIO KWAMA LIBYA
Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Antalyaspo ya nchini Uturuki, raia wa Cameroon, Samuel Eto’o Fils amekanusha tetesi zilizosambaa mtandaoni kuwa amewalipia tiketi za ndege wahamiaji wa nchi hiyo waliokuwa wamekwama Libya kurejea makwao.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Eto’o amesema kuwa tetesi hizo hazina ukweli wowote. Ameandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
ALICHO KIJIBU DOGO JANJA BAADA YA KUULIZWA KWANINI HAKUMSINDIKIZA UWOYA RWANDA
Tokea Janja amuoe Uwaya wawili hao hawajawahi kuonekana wakitoka pamoja kwenda mahali popote, alipo ulizwa kama anaweza kutoka na Uwoya Janja alisema, Of-coarse She is my wife lakini sisi tunaishi Private sana na kutoka nae muda wowote inawezekana kwa sababu Uwoya ni mke wangu.
Dogo Janja ambae ni Mume wa Mwigizaji Irene Uwoya aliulizwa kwanini hakumsindikiza Mke wake Rwanda kwenye msiba wa Ndikumana ambae ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
MBUNGE GODBLESS LEMA AMJIBU MANGE KIMAMBI KUPITIA TWITTER
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amemtoa wasiwasi mwanadada
anayefahamika kama mwanaharakati wa mitandaoni Bi. Mange Kimambi kuwa
asijali kwani wananchi watatoa maamuzi juu ya kilichotokea kwenye
uchaguzi mdogo Jumapili iliyopita.
Labels:
HABARI & UDAKU
BROWN WA JACQUELINE WOLPER AFUATA NYAYO ZA NUHU MZIWANDA
‘Kiben’teni’
Wolper, Barnaba Lukindo maarufu kama ‘Brown’, ameonyesha mapenzi ya
dhati kwa mpenzi wake mkali wa sinema za Kibongo ambaye kwa sasa hivi ni
mbunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper Massawe, kwa kuchora tatoo kwenye
kifua chake yenye jina la mdada huyo.
Brown amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana...
Labels:
HABARI & UDAKU
WATANZANIA RUKSA KUMILIKI ARDHI NA KUISHI KENYA BILA MASHARTI
“As a mark of our continued commitment to you, our Brothers and Sisters in the East African Community; from today, you will be treated like Kenyans. Like your Kenyan brothers and sisters, you will need only your identity card,” he said, adding that “You can now work, do business; own property, farm and if you wish, and find a willing partner, you can marry and settle in Kenya.”
“Our Brothers and Sisters in the East African Community, you are our closest friends; our fate and yours are joined at the hip; our troubles and triumphs are...
Labels:
HABARI & UDAKU
PICHA 9 ZA TUNDU LISU AIPO TEMBELEWA NA MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana tarehe 28 Novemba, 2017 amemjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu anayepata matibabu katika hospitali ya Nairobi nchini Kenya.
Mhe. Samia Suluhu Hassan amemfikishia salamu za pole kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye amemtakia matibabu mema na...
Labels:
HABARI & UDAKU
KENYA KUONGOZWA NA MARAIS WAWILI..!!! ODINGA ATANGAZA TAREHE YA KUAPISHWA
Odinga ametoa kauli hiyo ikiwa katika uwanja wa Jacaranda saa chache baada ya Rais Kenyatta kuapishwa kuwa Rais katika uwanja wa Kasarani, Hata hivyo, wakati Odinga akisema hayo, Rais Kenyatta mara baada ya kuapa amewaambia na wananchi wa Kenya kuwa hakutakuwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
Tuesday, November 28, 2017
MR NICE: HATA PESA ZA KUMSAIDIA DUDU BAYA BADO NINAZO
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Mr. Nice amesema anajua kwa sasa Dudu Baya ana hali mbaya ila kama msanii huyo anatajitokeza yeye yupo tayari kumsaidia ili aweze kuendelea na muziki wake.
Muimbaji huyo ambaye kipindi cha nyuma alikuwa na ugomvi mkubwa na Dudu Baya, ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anapoishi nchini Kenya amekuwa akisaidia watu wengi hivyo haoni tabu...
Labels:
HABARI & UDAKU
KIFESI AKIMBIZANA NA MENEJA WA DIAMOND MTANDAONI
Kutoka Tanzania muziki umewafanya wanaojihusisha na tasnia hiyo kwa namna yoyote inayoweza kuwatengenezea idadi kubwa inayoweza kuwategenezea umaarufu wa kujizolea mashabiki kwa kiasi kikubwa ni kitu ambacho kinaendelea kati ya meneja wa kimataifa wa msanii Diamond Platnumz ‘Sallam Sk’ ambaye kivingne unaweza kumuita ‘Mendez’ na mpiga picha maarufu Tanzania ‘Kifesi’.
Kupitia akaunti za mtandao wa picha wa Instagram, wawili hao, yaani Mendez na Kifesi utagundua kuwa wako katika kasi ya kujipatia wafuasi wengi zaidi kupitia...
Labels:
HABARI & UDAKU
STORY: NALIA NA NAFSI YANGU (Sehemu Ya Pili) 02
Sehemu ya:2
Mtunzi: Agatha Francis
"Sawa mume wangu sasa nimekuelewa sio unakua muoga unadhani tukiacha mali itakuaje ila itakua vizuri sasa ukimpigia simu kaka Mark pia aje maana peke yetu hatutoweza maana tangu aondoke hajarudi kabisa", mke wa Baraka aliongea.
Basi walicheka sana Baraka alimtania mke wake kwakusema mwanamke mbishi wewe ungekua mwanaume sijui ingekuaje usijali lakini Mark nampigia sasa hivi kaniletee...
Mtunzi: Agatha Francis
"Sawa mume wangu sasa nimekuelewa sio unakua muoga unadhani tukiacha mali itakuaje ila itakua vizuri sasa ukimpigia simu kaka Mark pia aje maana peke yetu hatutoweza maana tangu aondoke hajarudi kabisa", mke wa Baraka aliongea.
Basi walicheka sana Baraka alimtania mke wake kwakusema mwanamke mbishi wewe ungekua mwanaume sijui ingekuaje usijali lakini Mark nampigia sasa hivi kaniletee...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
SERIKALI YATANGAZA KUNUNUA CONDOM NA KUZIGAWA BURE NCHI NZIMA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kununua kondomu
zitakazosambazwa nchi nzima bure, kwa lengo la kupunguza maambukizi ya
Virusi vya Ukimwi.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Neema Rusibamaila wakatiu wa uzinduzi wa mkakati wa kitaifa wa kondomu na kueleza kwamba kondomu hizo...
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Neema Rusibamaila wakatiu wa uzinduzi wa mkakati wa kitaifa wa kondomu na kueleza kwamba kondomu hizo...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAJALA ATAMBA KWENYE VIDEO MPYA YA SAIDA KAROLI OMULILO
Video hiyo inamuonyesha Kajala akiwa anaishi kwa shoga yake kipenzi, lakini licha ya kumsitiri anafanya kitendo kibaya cha kumtaka shemeji yake kimapenzi kwa kumtega kwa kumvalia...
Labels:
HABARI & UDAKU
BEKA FLAVOUR: ASLAY HANA MSAADA WOWOTE KWANGU
Msanii Beka Flavour
ambaye ni moja ya zao la Yamoto Band, amesema kwamba baada ya kundi
hilo kusambaratika hapati msaada wowote kutoka kwa wenzake kama
ilivyokuwa awali.
Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Beka amesema kwenye kazi zake za sasa msanii mwenzake Aslay hajamsaidia kitu chochote, na hata yeye hajampa...
Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Beka amesema kwenye kazi zake za sasa msanii mwenzake Aslay hajamsaidia kitu chochote, na hata yeye hajampa...
Labels:
HABARI & UDAKU
EBITOKE AAMUA KUANIKA UZURI WAKE TAZAMA PICHA ZAKE 5 HAPA
Ebitoke ni Mchekeshaji kutoka kundi la Timamu. Ebitoke amepata umaarufu mkubwa kutokana na style yake ya kupaka mafuta mengi na wanja mpana pamoja na mavazi ya ‘kishamba’. Kutokana na style yake baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimchukulia kama mtu mshamba na msichana ambaye si mrembo.
Hiyo imekuwa ikifanya pindi anapoonekana kapendeza au nje ya muonekano wa awali watu kumkodolea macho. Sasa hizi ni baadhi ya picha ambazo ameamua kuachana na muonekano wake wa kuigiza. Tazama hapa chini...
Labels:
HABARI & UDAKU
T.I.D KUMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA BEN POL BAADA YA KUIMBA WIMBO WAKE
Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, TID amesema hajapendezwa na kitendo cha Ben Pol kuimba ngoma yake katika tamasha la ‘Fiesta’ wakati yeye hakuwa sehemu ya tamasha hilo, Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo, East Africa Radio kuwa atazungumza na wakubwa wake pamoja na wanasheria wake ili kumchukulia hatua Ben Pol.
“Nina kesi moja na Ben Pol, huyo jamaa kwenye concert moja kubwa sana halafu ilikuwa na sponsored na wamemlipa hela nyingi lakini kwenye nyimbo zake alizofanya katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
JAYDEE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUSAINI LEBO YATAURUS
Baada ya msanii wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jadee kusaini kufanya kazi na label ya Taurus Musik amefunguka mambo machache. Lady Jaydee amesema label hiyo itakuwa ya pili kufanya nayo kazi tangu mwaka 2001, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Lady Jaydee ameandika;
Mara ya kwanza kabisa ku sign na record label ilikuwa 2001 ambapo nili sign mkataba wa Albums 2. Album yangu ya kwanza Machozi na album ya pili Binti Baada ya hapo sikuwahi ku...
Labels:
HABARI & UDAKU
UVUMILIVU WAMSHINDA DIAMOND AIMBA MATATIZO YANAYO MKABILI KTK MAHUSIANO YAKE
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ameachia wimbo mpya wenye simulizi ya kinachomshinda katika kuishi maisha ya mahusiano ambapo hakuacha kusimuliza juu ya tukio lililotokea mpaka kupata mtoto wake wa tatu ‘Prince Abdul’ kwa mrembo Hamisa Mobetto.
Diamond Platnumz kama ilivyo kawaida yake kuyazungumzia mapenzi kwa malalamiko hakuacha kuwahusisha mtayarishaji wa kazi hiyo Lizer na dada yake Esma jinsi walivyomshauri juu ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, November 26, 2017
STORY: NALIA NA NAFSI YANGU (Sehemu Ya Kwanza) 01
Sehemu ya:1
Mwandishi: Agatha Francis
Hapana mke wangu sio vizuri kugombana na watu kwa hali hiyo uliyonayo, tumuache tu, MUNGU mwema tutapata sehemu ingine nzuri zaidi ya ile, ilikua ni sauti ya kijana Baraka akiongea na mkewe, "Hapana mume wangu, eneo lile ni mali ya wazazi wangu, walipofariki waliniachia linisaidie katika maisha, sasa yeye Mzee Moto la kwake tangu lini, mimi siwezi kumuachia mume wangu, kwahili utanisamehe tu", mke alimjibu.
Mume wake huku akionekana kakasirika sana lakini Baraka aliendelea kwakusema" mke wangu si unajua mzee Moto alivyo mkorofi kijiji kizima kinamtambua kwamba ni mkorofi na isitoshe mke wangu ni...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
FAMILIA YA NDIKUMANA YATOA MAAMUZI JUU YA MTOTO WA MAREHEMU
Akizungumza na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, mdogo wa marehemehu Hamadi Ndukaman, Laddy Ndikumana, amesema wao kama familia wako tayari kuhakikisha...
Labels:
HABARI & UDAKU
MBALI NA KUTUMIKA KAMA MAJANI YA CHAI PIA MCHAI CHAI NI DAYA YA MATATIZO HAYA 9
Mchai chai ni mmea ambao unatambulika hapa nchini pamoja na Afrika kwa ujumla wake, lakini hapa nchini wengi huutambua mmea huu kama kiungo katika chai na husaidia kinywaji hicho kuwa na harufu nzuri.
Tafiti kadhaa zinaonesha kuwa mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupamban ana athari kadha wa kadha tumboni, kwenye mkojo na hata kwenye vidonda. Wengine huamini kuwa mchaichai unaweza kutibu baadhi ya maradhi kama...
Labels:
HABARI & UDAKU
YANGA WAFANIKISHA MNASA KAYEMBE KANKU KTK USAJILI WA DILISHA DOGO
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga iliyotolewa kupitiwa kurasa zao za mitandao ya kijamii zimedai kuwa Kayembe alikuwepo nchini akifanya majaribio kwa muda mrefu chini ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
DOGO JANJA APIGA SHOO NA VAZI LA KANZU KWENYE JUKWAA LA FIESTA
Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja jana usiku alipanda kwenye jukwaa la Fiesta kwa namna yake kwani kabla ya kuingia kwenye stage ilianza kwanza kuoneshwa video ya sherehe za harusi yake na Irene Uwoya.
Kama dakika mbili hivi na baadae aliingia kwenye jukwaa akiwa amevalia vazi aina ya Kanzu kitu ambacho...
Labels:
HABARI & UDAKU
NYOTA NDOGO AWATETEA AKINAMAMA NCHINI KENYA KWA UJUMBE HUU
Muimbaji kutoka nchini Kenya, Mwanaisha Abdalla a.k.a Nyota Ndogo ameambatanisha ombi lake kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta anayetegemea kuhapishwa 26 mwezi Novemba mwaka huu.
Akiyatumia maneno yanayoashiria kuguswa na uchungu wa kile chenye sura ya unyanyasaji wa akinamama na jinsia ya jamii ya watoto wa kike kwa ujumla, Nyota Ndogo amemuomba Rais Uhuru Kenyatta...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, November 24, 2017
ROBINHO AKATANA KESI YA UBAKAJI NA KUKATA RUFAA
Kufuatia Mahakama ya nchini Italia kumuhukumu kifungo cha miaka tisa jela straika wazamani wa klabu ya AC Milan na timu ya taifa ya Brazili, Robinho hapo jana siku ya Alhamisi kwa kosa la kushiriki kumbaka mwanadada wa Albania tukio lililofanyika mwaka 2013, mwanasoka huyo aijibu mahakama kupitia mtandao wake wa Instagram.
“Nimeshachukua hatua zote za kisheria kwa ajili ya kujitetea, siku husika kwa namna yoyote kwenye tukio hilo kama...
Labels:
HABARI & UDAKU
HIZI NDIYO GARI ZA MKOLONI ZINAZO TUMIKA MPAKA LEO HUKO MADAGASCAR
Katika kisiwa hiki moja kati ya usafiri mkuu ni gari aina ya Citroen’s 2CV ambazo hutumika kama taxi. Citroen’s 2CV inaelezwa kuwa ni gari ambayo kiasili ilikuwa inatumika na bado inatumiwa katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
BEKA FLAVOUR AENDELEA KUFUATA NYAYO ZA ASLAY
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania,Bakari Katuti a.k.a Beka Flavour ameingiza kicha chake cha muziki wake katika mfululizo wa kuachia ngoma moja baada ya ngingine ndani ya muda mithiri ya jinsi anavyoendelea kufanya Aslay.
Beka akiwa ni mkali anayebaki katika masikio ya wengi kwa ngoma ya Libebe na Sikinai, ni miezi miwili tangu amechia rasmi kazi yake aliyomshirikisha mR. Blue ‘Tuwe Sare’ kisha ‘Unanimaliza’ sasa...
Labels:
HABARI & UDAKU
ENOCK BELLA: MUNGU KAMJAALIA ASLAY KIPAJI NA MTUNZI MZURI
Kwa namna msanii Aslay anavyoachia ngoma kila wakati, mashabiki wamekuwa wakitania huenda aliondoka na daftari la nyimbo katika kundi la Yamoto Band, sasa Enock Bella amejibu kuhusu hilo.
Muimbaji huyo wa ngoma ‘Sauda’ amesema hapana hilo halipo ni Mwenyenzi Mungu tu kamjalia Aslay kipaji na mtunzi mzuri kitu ambacho hata yeye...
Labels:
HABARI & UDAKU
JAYDEE APATA MANAGEMENT MPYA YA KUSIMAMIA KAZI ZAKE ZA SANAA
Malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amefanikiwa kupata uongozi mpya ambao utasimamia kazi zake za muziki baada ya kuachana na Seven Mosha.
Akiongea na mtu wa karibu wa msanii huyo amethibitisha hilo kuwa Jide kwa sasa amepata uongozi huo mpya wa kampuni kutoka Nigeria ambao wanafanya kazi nchini Kenya. Chanzo hiko kimesema kampuni hiyo inafahamika kama...
Labels:
HABARI & UDAKU
HEMEDY PHD: WATOTO WANGU SITA WOTE WAMEPISHA MIEZI MIWILI MIWILI
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Hemedy PhD amefunguka mambo kadhaa kuhusu yeye kuwa baba wa watoto sita, Muimbaji huyo ambaye anatamba na ngoma ‘January to December’ ameiambia Planet Bongo ya EA Radio katika watoto wake sita alionao wamepishana kila mmoja miezi miwili katika kuzaliwa.
“Mtoto wangu mkubwa ana miaka mitatu waliofuatia wote wanapishana miezi miwili miwili, sitaki drama kila mtu na mama yake lakini all in all...
Labels:
HABARI & UDAKU
CYRIL KAMIKAZE NDANI YA TUHUMA YA KUMZALILISHA FEZA KESSY
Star wa Bongo Fleva Cyril Kamikaze amefunguka kuhusu
tuhuma zinazomkabili za kumzalilisha mpenzi wake Feza Kessy kwa kuanika
picha inayoonyesha matiti yake katika mtandao wake wa instagram.
Kamikaze amesema haoni tatizo lolote la ile picha kwani ni picha ya kawaida sana na haijaonyesha kiungo chochote cha Feza anachojua ni kwamba picha ile inaonyesha sehemu kidogo ya...
Kamikaze amesema haoni tatizo lolote la ile picha kwani ni picha ya kawaida sana na haijaonyesha kiungo chochote cha Feza anachojua ni kwamba picha ile inaonyesha sehemu kidogo ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)