Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Afrika Kusini, Cassper Nyovest
amesema hajawahi
kutumia madawa ya kulevya aina ya bangi katika maisha
yake ili kuongeza ubunifu
kwenye muziki wake huku akiwaonya marapper
wadogo waachane na dhana hiyo.
anajua kughani tu?”
Ndipo Cassper akaona amjibu mdau huyo tena kwa kumshangaa kuwa haamini kwamba kila rapper mzuri ni lazima atumie bangi au aisifie kwani haina faida yoyote katika ubunifu kwenye muziki.
“Unaongelea nini? Yaani kuwa rapper ni lazima uvute bangi? au lazima niisifie ndiyo niwe rapper? Sawa, sivuti bangi wala kuifikiria kwa lolote. Na nashauri mtoto yeyote anayenitazama kutokuiga maisha yangu au kujaribu kuvuta bangi ili kuongeza ubunifu kwenye kazi yake kwani ni uongo tu.”ameandika Cassper Nyovest.
0 comments:
Post a Comment