Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nandy ameamua kuzungumzia ishu ya yeye kuongea Kiswahili alipohojiwa kwa Kiingereza kwenye utoaji wa Tuzo nchini Nigeria.
Nande amesema sio kwamba yeye hajui Kiingereza ila aliongea Kiswahili makusudi ili kukitangaza Kiswahili na aliona watu...
wamekipenda.
Siyo kwamba mimi sijui kiingereza nakijua sana tena kupita maelezo ila niliamua tu kuongea kiswahili kwa makusudi ili kukuza lugha yangu na niliona watu wamekipenda kiswahili pia nilihitaji watanzania wanao nitazama wanielewe zaidi. Alisema Nandy
0 comments:
Post a Comment