Spika wa bung la Zimbabwe ametangaza rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo,
Robert Mugabe
amejiuzulu nafasi ya urais aliyoishikilia kwa miaka 37.
umesitishwa.
Kupitia ukurasa wa rasmi wa Twitter wa Chama tawala nchini humo cha Zanu-PF kimethibitisha taarifa hizo kwa kuandika “R G Mugabe amejiuzulu. Safari ya zama mpya inaanza rasmi”
0 comments:
Post a Comment