Kutoka Tanzania muziki umewafanya wanaojihusisha na tasnia hiyo kwa namna yoyote inayoweza kuwatengenezea idadi kubwa inayoweza kuwategenezea umaarufu wa kujizolea mashabiki kwa kiasi kikubwa ni kitu ambacho kinaendelea kati ya meneja wa kimataifa wa msanii Diamond Platnumz ‘Sallam Sk’ ambaye kivingne unaweza kumuita ‘Mendez’ na mpiga picha maarufu Tanzania ‘Kifesi’.
Kupitia akaunti za mtandao wa picha wa Instagram, wawili hao, yaani Mendez na Kifesi utagundua kuwa wako katika kasi ya kujipatia wafuasi wengi zaidi kupitia...
kile wanachokifanya, Kifesi mwenye wafuasi wasiopungua ‘451k’ amepiga tambo la zaidi ya wafuasi elfu 20(20k) kwa Mendez mwenye wafuasi ‘430k’ idadi ambayo inaonesha kasi ya kukimbizana.
0 comments:
Post a Comment