Katikati ya mwezi April mwaka huu Vanessa na Major Lazer walishare picha katika kurasa zao za mtandao wa Instagram zikionyesha wakiwa...
location kwa ajili ya kufanya video. Major Lazer linaundwa na members watatu, Diplo, Jillionaire, na Walshy Fire.
Ilianzishwa na Diplo na Switch, lakini Switch alijiondoa mwaka 2011.
Lakini ni Diplo ndiye mwenye jina kubwa zaidi kwenye kundi hilo na ameshiriki kutengeneza hits za wasanii wengi wakubwa. Kwenye album ya Beyonce, Lemonade, Diplo ametayarisha nyimbo mbili, Hold Up na All Night.
0 comments:
Post a Comment