Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Harmonize ameingia location kufanya video na rapper kutoka nchini Ghana, Sarkodie.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Shulala’ ambayo amemshirikisha Korede Bello kutoka Nigeria amezidi kuonyesha njaa ya kutusua kimataifa. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ame-share...
video fupi inayowaonyesha wakiwa location na kuandika;
Let’s connect to this east & west!!! + bro @sarkodie x #KONDEBOY@sallam_sk#WCB4LIFE
0 comments:
Post a Comment