Davido anazidi kupata mafanikio kupitia muziki wake tangu aliporudi tena baada ya kukaa kimya kwa takribani mwaka mzima bila ya kuachia ngoma mpya.
Kwa sasa msanii huyo atakuwa anafungua Champagne kwa furaha kutokana na video ya wimbo wake wa ‘IF’ kufikisha views milioni 50 katika...
mtandao wa YouTube.
0 comments:
Post a Comment