Ukweli ni kwamba Barakah The Prince hana tofauti/bifu yoyote na Alikiba kama ambavyo mashabiki wengi wa Alikiba na wadau wa muziki walivyokuwa Hitmaker huyo wa Sometimes kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo kwa...
kumtakia Kheri ya siku yake ya kuzaliwa Alikiba .
“Happy Birthday kaka King Kiba nakutakia maisha marefu“ameandika Barakah The Prince kwenye posti ambayo imeleta majibu kwa baadhi ya wadau waliokuwa wakidhani kuwa msanii huyo ana bifu na Alikiba.
0 comments:
Post a Comment