Pages

Subscribe:

Thursday, April 2, 2015

BENKI YA CRDB ITAJENGA UKUTA WA NYUMBA YA DIAMOND ULIO BOMOKA

Benki ya CRDB imepanga kumjengea ukuta wa fensi wa nyumba ya Daimond Platnumz ulioangushwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. CRDB wamesema hayo kuwa watamjengea ukuta huo kwa kuwa Daimond tayari... aliikatia Bima nyumba hiyo. Gharama itakayotumika kujenga ukuta huo ni milion 15. Chanzo: E-Fm Radio

0 comments:

Post a Comment