skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND ATAKA ZARI AJIFUNGULIE TANZANIA
Habari zilizosambaa leo mitandaoni moja wapo ni hii ya Diamond Kumzuia Zari
Ambae ni mama Kijacho wake kwenda kujifungulia Sauz Afrika. Inasemekana
Diamond Anataka Zari ajifungulie hapa hapa Bongo Muda utakapo fika ili iwe
rahisi familia nzima kufurahi nae badala ya kusafiri mpaka Sauz.
Tayari Diamond Ameshamuanzishia Zari Clinic ya... Hapa Bongo kwenye Hospitali
ijulikanayo kama AMI iliyoko Masaki
0 comments:
Post a Comment