skip to main |
skip to sidebar
LULU ASHINDWA KUMTAJA ALIYE MPACHIKA MIMBA
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa
anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.
Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua
mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana...
wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni
wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.
0 comments:
Post a Comment