Video hiyo ambayo ameifanya kwa ajili ya kampeni ya kupinga ujangili wa tembo ‘Wil Aid’ ilishootiwa Los Angeles Marekani miezi mitatu iliyopita ambapo pia alimtua mwalimu wa dansi (choreographer) Oththan Burnside ambaye amewahi kufanya kazi na wasanii wakubwa wa nchini humo ikiwemo Chris brown, Ciara, Nick Minaj, Ne-yo, Ashanti, Rihanna, Justin bieber na...
wengine.
Video hiyo imesamamiwa na mtengeneza filamu maarufu wa Hollywood, Kevin donovan.
0 comments:
Post a Comment