Akiongea kwenye kipindi cha Clouds 360, kinachoruka kupitia Clouds TV, Ben Pol amesema, “najiogopa, nawaza hivi itakuwaje nikivaa... hereni au kuchora matatoo.”
“Wazazi hawatasumbua, kwa umri wangu huu naweza kufanya kitu chochote. Lakini mimi mwenyewe naona hivi itakuwaje, labda naenda kama benki hivi. Nataka kufocus kwenye muziki mzuri na ubunifu kwenye muziki lakini zile mbwembwe hapana,” aliongeza.
0 comments:
Post a Comment