skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND ALIBOMOA JUMBA LAO LA TANDALE NA KUJENGA MPYA
Hizi ni picha za Before na video inaonyesha After ya nyumba ya zamani ya
familia ya Diamond Platnumz huko Tandale jijiini Dar es salaam.
#AFTER Na huu ndio Muonekano Mpya wa Nyumbani kwetu TANDALE sasa.
Hongera sana mama zangu Mama Dangote, Bi mwajey na Bi shani kwa usimamizi
mzuri hadi kufikia hapa...
#HomeSweetHome #Tandale
#StillUnderConstructionThough
A video posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on May 14, 2016 at
9:07am PDT
0 comments:
Post a Comment