Msanii Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake ‘Achia
boy’ amefunguka na kusema kuwa ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ili
kupunguza usumbufu kutoka kwa watoto wa kike. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet bongo cha East Africa Radio,
Ommy Dimpoz alidai kuwa kufanya hivyo ni kupunguza kasi ya watoto wa
kike ambao wamekuwa wakimsumbua na kumtaka kimapenzi.
kufanya hivyo inasaidia” alisema Ommy Dimpoz
Mbali na hilo Ommy Dimpoz alisema mpenzi wake huyo kwa sasa anasomea udaktari nchini uingereza na kudai ni mtu wa Afrika Mashariki.
0 comments:
Post a Comment