Messi na babake Jorge, ambaye ndiye anayesimamia mali yake wanadaiwa kuficha mamilioni ya pesa katika visiwa visivyotoza kodi vya Belize na Uruguay. Mamlaka ya ushuru ya Uhispania inadai walitumia...
visiwa hivyo kuficha malipo ya haki miliki ya sura ya mshambuliaji huyo.
Aidha wawili hao wanadaiwa kudanganya maafisa wa kukusanya kodi walipoulizwa awali katika uchunguzi huo. Upande wa mashtaka unataka wahukumiwe kifungo gerezani mbali na kutozwa faini kubwa ili iwe mfano kwa wengine wenye nia kama yao.
0 comments:
Post a Comment