skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND ATOA SABABU YA KUTOSEMA CHOCHOTE WAKATI WA KUSHOOT VIDEO NA P-SQUARE
Diamond Platnumz aliamua kutosema chochote wakati alipokuwa Afrika
Kusini kufanya video ya wimbo aliowashirikisha P-Square. Ni Paul na
Peter Okoye tu ndio waliopost picha za behind the scenes za uchukuaji wa
video hiyo. “Sometimes naonaga ukianza kuelezea kitu kitakuja, kitakuja, kinakuwa kinaboa,” Diamond ameiambia Bongo5.
“Sema tumeshamaliza tumeshashoot video, nasubiria tu mimi mwenyewe,
nimekaa nayo tu ndani naangalia nitoe saa ngapi, imeshaisha kila kitu.
Na muziki sometimes unafaa... kuchungulia kuangalia unaiweka wapi, na
kwasababu sio kutoa tu nyimbo unataka uonekana umefanya wimbo, lakini
pia unatoa nyimbo kwa target za kibiashara,” ameongeza.
0 comments:
Post a Comment