Wikiiliyopita staa anaechipukia kwenye bongo fleva Harmonize alimpeleka mpenzi wake Jacqueline Wolper kwao Mtwara alikoenda kutumbuiza kwa mara ya kwanza tangu aukwae ustaa kupitia label ya WCB. Tazama picha hapa...
“Time Ya Kumsaidia mama Harmo Kuanda Chakula Cha Usiku Mtwara Life @wolperstylish,” aliandika Harmonize kwenye picha inayomuonesha Wolper akichuma matembele shambani.
Hapa nimepata rafiki kwa kweli…I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu.”
0 comments:
Post a Comment