Monday, July 31, 2017
NISHA: UNAWEZA UKAWA FUNDI KITANDANI HALAFU HAUNA NIDHAMU
Baada ya watu kumuandama Nisha kuwa mpenzi wake ni serengeti boy, ameibuka na kusema hakuna kitu kama hicho na si kweli masuala ya kitandani zaidi ndio yanawafanya baadhi ya wastaa wa kike kupenda kutoka kimapenzi na vijana wadogo (serengeti boy).
Muigizaji huyo wa Filamu Bongo amesema kuna vitu vingi vya kuangalia kwa mtu kabla ya kuingia naye katika mahusiano na mambo ya kitandani...
Labels:
HABARI & UDAKU
MSAGA SUMU AAMUA KUMCHANA MAKAVU DULLA MAKABILA
Mfalme wa kisingeli Tanzania, Msaga Sumu amefunguka kwa kumtaka Dulla
Makabila aache tabia ya kuweka tamaa mbele kwa madai anachokifanya
kinaweza kuwaaminisha watu kuwa waimba singeli wote ndivyo walivyo.
Msaga
Sumu amesema hayo baada ya Dulla Makabila kuwa na tabia ya kuchukua
'show' mbili kwenye usiku mmoja katika mikoa tofauti jambo ambalo...
Labels:
HABARI & UDAKU
CHEGE: KANUMBA HAJAFA NA BONGO MOVIE
Ikiwa kitaani kuna tetesi kuwa tasnia ya filamu hapa nchini iliyumba na hatimaye kupotea kabisa kwenye ramani baada tu aliyekuwa muigizaji mkali Steven Kanumba kufariki Dunia.
Kutoka Kiumeni Chege Chigunda amedai kuwa haungi mkono hata kidogo kauli hiyo ya Kanumba kuondoka na Bongo Movie yake kwasababu anaamini waasisi wa sanaa zote walikwisha...
Labels:
HABARI & UDAKU
WOLPER ATANGAZA KUJA NA APP YAKE KAMA ILIVYO KWA WEMA
Kufuatana na teknolojia inavyozidi kukua siku hadi siku na dunia nzima kuonekana kuelekea huko, mastaa wetu kibongo bongo wameonekana kutobaki nyuma kwa kutumia fursa ambazo wanazipata kutokana na majina yao na vitu kama hivyo.
Baada ya TZ Sweetheart Wema Sepetu kufungua application yake ya simu za mikononi (Smartphones) na kuwa wezesha mashabiki zake kupata...
Labels:
HABARI & UDAKU
CHRISTIANO RONALDO KUPANDISHWA KIZIMBANI LEO
Ronaldo atapandishwa kizimbani akiwa bado hajaanza mazoezi ya maandalizi ya msimu akiwa na Real Madrid, kesi inayomkabili Ronaldo ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
WIZKID AZIDI KUWA TISHIO ATENGENEZA ALBUM NDANI YA SIKU MBILI
Inaonekana kwamba baada ya kumaliza Concert yake huko nchini Kenya, Nairobi unaambiwa Wizkid alivyotua tu Nigeria ametengeneza Album ndani ya siku mbili.
Sasa taarifa hiyo ambayo inamwonesha Wizkid kwamba hakuwa na nafasi ya bure bali alikuwa na nafasi ya kuwatengenezea mashabiki zawadi ya ujio wa Album, ambapo taarifa hiyo ilitolewa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAY C AFUNGUKA ADHABU ATAKAYOMPA MWIZI WA ACCOUNT YAKE
Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila 'Ray C' amedai
kumfunga mwizi aliyedukua (hack) ukurasa wake wa Instagram uliokuwa na
wafuasi zaidi ya laki tano na kusema kwamba hataweza kuvumilia wezi
kuendelea kuwepo mitaani.
Ray
C amefunguka hayo siku chache zilizopita alipokuwepo kwenye Heshima ya
Bongo fleva kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa kupitia East
Africa radio huku akiesema...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND AMZIDI KUMPA JEURI HARMONIZE
Msanii Diamond Platinumz na mmiliki wa label ya WCB, Diamond Platnumz amempa ushauri msaanii wa kwanza kusainiwa katika label hiyo, Harmonize kuhusu maneno ya watu.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Eneka’, kupitia mtandao wa Instagram amemtaka Harmonize kutoogopa maneno ya watu katika kazi zake, Diamond ameandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIVA THE BAWSE: MIMI SIYO TEAM KIBA NA SIHITAKI HATA KUSIKIA
Alhamisi ya wiki iliyopita kwenye kipindi cha Ala za Roho cha Clouds fm Diva The Bawse (Mtangazaji) alikuwa na interview na Wachekeshaji wapya wanaokiki mjini kutoka kampuni ya Timamu Ebitoke na Mama Ashura.
Moja kati ya story ambazo zilikiki kinoma kwenye interview hiyo ni story za u-team kwenye game ya Bongo fleva ikiwa siku chache zilizopita alisikika Mama Ashura akifunguka kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Diamond Platnumz na sio Alikiba, huku Ebitoke yeye ni shabiki wa kutupwa wa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, July 30, 2017
DARAJA REFU KULIKO YOTE DUNIANI LAZINDULIWA + VIDEO
Daraja refu zaidi duniani la kuning’inia lenye urefu wa mita 494 limefunguliwa jana nchini Uswizi katika mji wa Zermatt. Daraja hilo lijulikalo kwa jina la Europabrucke lenye maana ya Daraja la Ulaya lina urefu wa mita 494 mita 85 kutoka ardhini litakuwa ndiyo daraja refu zaidi kujengwa likivunja rekodi ya daraja la Reutte la nchini Austria lenye urefu wa mita 405 na mita 110 kutoka ardhini.
Taarifa kutoka Bodi ya Utalii nchini Uswizi zinasema Daraja hilo lina uzito wa tani 8 na limewekwa kifaa ambacho...
Labels:
HABARI & UDAKU
Story: SIKU SABA KUZIMU (Sehemu Ya Kwanza) 01
Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku damu nyingi zikiendelea kunitoka lakini maumivu makali yalinirudisha chini.
Kwa kutumia mikono yangu miwili, nilijaribu kuminya pale kwenye jeraha kubwa ili kuzuia damu isiendelee kunimwagika lakini nilijikuta...
Labels:
LOVE & STORY
STAMINA NA ROMA KUJA NA ALBUM YA PAMOJA
Aliyefichua hilo ni Stamina ambaye amesema kutokana na ukaribu wake na Roma wamegundua muziki wao unaendana hivyo wameamua kufanya albamu.
“Kuna albamu ya mimi na Roma imeshamalizika kurekodiwa kama unaona kuna picha tulikuwa studio kwa Manecky na wakina...
Labels:
HABARI & UDAKU
EXCLUSIVE: PETITMAN AFUNGUKIA SWALA LA KUMFUMANIA MKEWE ESMA
NDOA ya mastaa wawili, Esma Abdulkadiri na Hamad Manungwa ‘Petit Man’ inadaiwa kuwa kwenye machafuko baada ya juzikati kuvuja madai kuwa, Petit alimfumania mkewe na jamaa mwingine.
Chanzo ambacho kiliomba hifadhi ya jina lake awali kilidai kuwa, wawili hao waliibua varangati la aina yake na kusababisha kufunga...
Labels:
HABARI & UDAKU
JOHARI: BADO NAHESHIMIKA SIJAWA USED
Staa wa filamu za Kibongo toka kitambo, Blandinda Chagula ‘Johari’ ametema cheche kuwa hata kama ametumika muda mrefu kwenye tasnia hiyo lakini bado anaheshimika kwa mashabiki wake na siyo ‘Used’ kama wanavyodai mastaa wanaochipukia.
Akizungumza Johari ambaye juzi Ijumaa Julai 28, 2017 ilikuwa ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, alisema anaamini yeye kama staa aliyekuwa akisumbua huko ...
Labels:
HABARI & UDAKU
Story: KAHABA KUTOKA CHINA (Sehemu Ya Sita) 06
Rose alibaki akiwa amepigwa na mshtuko mkubwa, hakuamini kama baba yake ndiye ambaye alisimama mbele ya geti lile. Alikuwa akimwangalia huku akitetemeka kupita kawaida. Hofu kubwa ikaingia moyoni mwake, uso wa baba yake ukaonekana kuwa kwenye hasira kubwa kupita kawaida.
Rose akaihisi miguu yake ikitetemeka sana, alitamanai kurudi kule alipotoka lakini akajikuta akikosa nguvu kabisa za kurudi, Bwana Shedrack alikuwa akitetemeka kwa hasira, kijasho chembamba kilikuwa kikimtoka kwa wakati huo, macho yake yakaanza...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
OMMY DIMPOZ AFUNGUKA UTOAJI WA VIDEO WA DIAMOND KIMAFUMBO
Msanii Ommy Dimpoz ametaja faida na hasara kwa msanii kutoa video nyingi kwa wakati mmoja. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya Cheche, ameiambia EA Radio iwapo msanii atatoa video nyingi moja wapo inaweza kufanikiwa na iwapo zote zikifeli atakuwa amejiondoa katika media rotation.
“Kila mtu ana biashara yake na anavyoingalia mipango yake ambayo anahisi inaweza kumsukuma, pengine anataka kuangalia katika hizi tatu ninazotoa moja haiwezi kukataa lakini kuna faida na hasara. Faida yake...
Labels:
HABARI & UDAKU
PICHA TATU TATA ZA DAYNA NYANGE ZAVURUGA WANAUME
Msanii wa Bongo Flava, Dayna Nyange ameachia picha katika mtandao zenye utata kidogo. Hitmaker huyo wa Komela ameweka picha hizo katika mtandao wa instagram na kutoandika chochote. Hizi ndizo picha alizoweka...
Labels:
HABARI & UDAKU
MSAMI: UWOYA SIKUMTONGOZA BALI ALINITONGOZA
Mwanamuziki
anayefanya poa na ngoma ya 'So Fine' Msami baby amedai hana mawazo ya
mpenzi wake wa zamani, msanii wa bogo movie, Irene Uwoya kutoka
kimapenzi na msanii Dogo Janja kwani hakuwahi kumtaka bali mwanadada
huyo ndiye aliyemtaka wa kwanza.
Msami
amefunguka hayo kwenye FNL ya EATV ijuma hii wakati alipokuwa akijibu
swali la mtangazaji wa kipindi hicho kuhusu kupotea kwake kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
MR NICE: HAKUNA KINACHO ENDELEA KATI YANGU NA WCB VIDEO YA SINA NILILIPWA
Ikiwa vichwa vya Habari kubwa za siku kwenye vyanzo tofauti tofauti vya Habari nchini Tanzania vimesheheni jina la Mkongwe wa Muziki wa Bongo fleva Mr Nice kwa mara nyingine tena baada ya muda mrefu kupita.
Ikiwa ni baada ya mkali huyo kutokea kwenye video ya wimbo mpya wa Harmonize unaokwenda kwa jina la Sina. Wimbo ambao unamzungumzia mtu flani ambaye alipata...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND ACHARUKA BAADA YA ZARI KUANDAMWA MTANZAONI
Baada ya Mama Tiffah, Zari Te Boss Lady kustream live kwenye page yake katika mtandao wa instagram akionekana anakula raha na mpenzi wake Diamond Platnumz wapo ambao wamekuwa na comments za tofauti katika kitendo hicho ukizingatia ni siku chache tu zimepiita tangu mrembo huyo afiwe na Mama yake mzazi.
Diamond Platnumz ameamua kutowakalia kimya watu hao na kuwatupia madongo ya saizi yao huku akidai kwamba hii ni time ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
BARNABA AMPIGIA ASLAY SALUTI KWA KAZI HII
Hitmaker wa Lover Boy, Barnaba amempongeza Aslay kwa namna anavyofanya muziki wake kwa sasa. Muimbaji huyo amesema kwa sasa Aslay yupo vizuri na mashabiki wamempokea vizuri na hasa maeneo ya uswahilini, hivyo Aslay kwake anakuwa msanii bora zaidi kwa sasa.
“Aslay anafanya vizuri kwa sasa, hatumii nguvu, aombi interview, hafanyi interview nyingi sana, ni mtu ambaye amechagua...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, July 29, 2017
UJAUZITO WA RIHANNA BADO NI KITENDAWILI
Mwanamuziki, Robyn Rihanna Fenty ‘Rihanna’ anadaiwa kuwa mjamzito kutokana na muonekano wake kifuani, usoni, matendo na mavazi.
Kwa mujibu wa mtandao mmoja umedai kuwa, Rihanna anadaiwa kushika ujauzito wa mpenzi wake Bilionea Hassan Jameel ambapo ameongezeka...
Labels:
HABARI & UDAKU
MAPENZI UCHIZI..!! NISHA ABADILI MPAKA JINA KISA PENZI JIPYA
MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amebadili jina lake na kujiita Nisha Minhal Azad huku kisa kikidaiwa kuwa amefanya hivyo baada ya kuingia katika uhusiano wa kimapenzi na ‘Serengeti Boy’ anayetumia jina hilo.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na msanii huyo, Nisha amekuwa karibu na ‘Serengeti Boy’ huyo ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva na...
Labels:
HABARI & UDAKU
Story: KAHABA KUTOKA CHINA 05
Peter akaliegesha gari lake nje ya geti la kuingilia katika kambi ya kijeshi ya Lugalo. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto wa mwanajeshi, akatoa kitambulisho chake na kisha kumuonyeshea mwanajeshi ambaye alimtaka kufanya hivyo na kisha kuruhusiwa. Akaliendesha gari lake mpaka katika sehemu ya maegesho na kisha kuteremka.
Kichwa chake kilikuwa kwenye mawazo mengi, hakuamini kwamba Bwana Shedrack hakuwa amemwambia Rose kile ambacho alikuwa ameambiwa na baba yake, Bwana Edward. Kitu ambacho alikijua ni...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
Friday, July 28, 2017
RAY C: JAMANI NAMPENDA SANA HUYU MTOTO BEKA FLAVOUR
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ray C ambaye sasa anafanya vyema na
wimbo wake 'Unanimaliza' amefunguka na kusema yeye anampenda sana msanii
kutoka kundi la Yamoto Band, Beka Flavour na kusema anaamini atafika
mbali sana.
Ray C amesema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo kinachorushwa na East Africa Radio alipokuwa kwenye 'Heshima ya Bongo Fleva' na kusema anaposikiliza wimbo wake 'Libebe' anapata...
Ray C amesema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo kinachorushwa na East Africa Radio alipokuwa kwenye 'Heshima ya Bongo Fleva' na kusema anaposikiliza wimbo wake 'Libebe' anapata...
Labels:
HABARI & UDAKU
ABDUKIBA AVUJISHA SIRI YA KAKA YAKE
Abdukiba alipoongea na East Africa Radio kupitia kipindi cha PlanetBongo aliweka wazi kuwa Alikiba yupo nchini Kenya na kusema amekwenda kushirikiana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
SHERIA: NAMNA YA KUPATA AU KUTOA DHAMANA KWA MTU ALIYE CHINI YA ULINZI
Dhamana ni hatua ambayo mtuhumiwa wa kosa fulani huachiwa huru kwa muda, ili kusubiri hatua za kufikishwa mahakamani, au kama tayari amefikishwa mahakamani husubiri kuendelea na kesi kwa siku zijazo.
Kwa hiyo, ili lije suala la dhamana ni lazima uwe umetuhumiwa polisi au tayari umefikishwa mahakamani. Ileweke kuwa kuna aina kuu mbili za dhamana. Kwanza dhamana ya polisi na pili dhamana ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
ASLAY AITOLEA MAJIBU KAULI YA BEKA FLAVOUR
Baada ya kauli ya Beka Flavour kuwa hatomvumilia Aslay iwapo atatoa ngoma nyingine, Aslay amesema hilo halina shida. Aslay ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Baby’, amesema hafikirii kuwa kitendo cha Beka Flavour kuhairisha kutoa ngoma ili zisigongane na yake ni kumuhofia kwani ni msanii mzuri mwenye muziki mzuri.
“Mfano mdogo Libebe imepita na hata angeamua kutoa ngoma na mimi zingekutana huku mjini na kila shabiki angependa...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO SABABU INAYO WAFANYA DIAMOND NA AY KUMKUBALI ROSA REE
Only Female Rapper kutoka label ya The Industry, Rose Ree ameeleza sababu ya wasanii wakubwa kuubali muziki wake. Katika nyakati tofauti wasanii kama AY na Diamond walionyesha kuvutiwa na uwezo wa Rapper huyo.
Rosa Ree amesema utofauti aliokuja nao katika game umependwa na wengi kwa sababu hakuufikiria muziki wake katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)