Friday, July 28, 2017
KAMPUNI YA PUMA NA JAY Z WAJA NA SNEAKER ZA 4:44
Kama utakumbka Wiki chache zilizopita kulikuwa na stori kwamba rapper Jay Z atashirikiana na Puma katika kusapoti Tour yake ya “4:44”, ukiachana na kusapoti Tour yake, Puma wameamua kuja na sneaker zenye lebo ya Album hiyo ya “4:44”.
Kupitia kurasa ya twitter ya memba wa Puma @sneakerboxClyde, aliamua kushare picha ya mwonekano wa Sneaker hiyo mpya ambayo ni kolabo kati ya...
Jay z pamoja na Puma zenye nembo ya Album ya “4:44”.
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment