“Kuna albamu ya mimi na Roma imeshamalizika kurekodiwa kama unaona kuna picha tulikuwa studio kwa Manecky na wakina...
Ben Pol, wiki ile nyingine tunaachia single yetu ya pamoja,” ameiambia The Playlist ya Times Fm na kuongeza.
“Idea ya kufanya album pamoja tumegundua mimi na Roma tuna chemistry, kuanzia jukwaani, halafu apart ya kuwa hivyo ni mshikaji wangu mwingine kabisa, kwa siku nadhani yeye ndiye tupo pamoja kuliko mtu mwingine yeyote, basi tukasema na urafiki wetu tuuingize kwenye kazi ndio maana hata kwenye show tunafanya pamoja,” amesisitiza.
0 comments:
Post a Comment