Mo Music alidaiwa kupigwa na ushindwa kuondoka hadi alipoomba msaada kwa watu wake wa karibu. ”Ishu ilikuwa narekodi na nilipofika nikasikia wanaambiwa watoke nje badala ya kutoka nje nikasikia anasema Mo Music kitu gani naye...
atoke nje. Nilipotoka nje nikaona mtu kanivuta na mimi siyo mnyonge kiasi hicho, nina uwezo wa kupambana pia japo nilitumia hekima haya mambo yaishe.” – Mo Music.
0 comments:
Post a Comment