Baraka Da Price atangaza rasmi leo tarehe 21 july 2017 kutohusika tena na record
Label hiyo kwa sababu hawampi kile
kilichopo kwenye makubaliano yao na hawamsikilizi pale anapouliza kuhusu
kile kinachomuhusu baada ya kuona vitu fulani haviendi sawa na
kumalizia kwamba “Sijatoka Rockstar4000 sababu Alikiba
katangazwa kuwa
Mkurugenzi hapana ila...
boss ni jina kubwa msisahau” aliyaongea haya ndani
ya kipindi pendwa toka clouds fm Xxl
0 comments:
Post a Comment