Staa AliKiba nchini Rwanda katika tamasha la East Africa Party la tarehe 1 mwezi Januari mwaka huu lililofanyika viwanja vya Amahoro vilivyoko mjini Kigali aliuchagua wimbo wa Cinderella uliobeba jina la Album yake ya mwaka 2007 kusafisha jukwaa katika kuufungua mwanzo wa Burudani.
Burudani hiyo iliyokuwa katika maadhi ya
Reggae iliyopigwa live na kuwapagawisha zaidi mashabiki katika kuuanza
mwaka na kingine kilichobainisha ni kuwa...
safari yake hiyo ya nchini
Rwanda aliongozana na Mshikaji wake wa karibu Ommy Dimpoz.
AliKiba kuwa pamoja na Ommy Dimpoz Nchini
humo pengine ni ukaribu wao na ikizingatiwa kuwa ni mtu na Boss wake
kwakuwa wawili hao wako chini ya mwavuli wa kampuni moja inayosimamia
muziki wao ya RockStar4000.
AliKiba anahesabika katika ya mastaa
walioingiza mtonyo kwa mfuatano wa matumuizo yailiyofanyika kwa mwishoni
mwa mwaka 2017 na mwanzoni mwa mwaka wa 2018 ikiwa ni pamoja na hili ka
kuufungua mwaka.
0 comments:
Post a Comment