Pages

Subscribe:

Friday, January 12, 2018

FID Q AZIDI KUZUA MASWALI JUU YA UHUSIANO WAKE NA MREMBO HUYU


Kama Fid Q atadai kuwa kumpost mara kwa mara mrembo huyu ni ugonjwa basi kwake huu umeshakuwa ugonjwa sugu kwakuwa dalili za rapa huyu msiri zinaonesha wazi kuwa kilichopo kati yake na mrembo huyu ni kikohozi ambacho tayari kukuficha inashindikana.

Hili limeibuka kwa sababu kila picha ambayo Fid Q uchukua maamuzi ya kuipost hasa kwenye ukurasa wake wa Instagram basi uambatana na maelezo sahihi na ya kueleweka ambayo...
mara kwa mara wengi wao ambao upata nafasi hiyo ya kutokea katika akaunti yake wanaambulia salamu za pongezi na kutakiwa maisha marefu katika siku za kumbukumbu za mfanano wa siku ya kuzaliwa kwao kitu ambacho ni tofauti kila ikipostiwa picha ambayo mrembo huyo atakuwepo.


0 comments:

Post a Comment