Pages

Subscribe:

Saturday, January 13, 2018

MARK ZUCKERBERG ATANGANGAZA KUIFANYIA FACEBOOK MAREKEBISHO

Kampuni ya mtandao wa Facebook imetangaza kufanya mabadiliko makubwa katika ukurasa wake wa ‘habari mpya’ ambapo kipaumbele kitakuwa zaidi kwa taarifa za kifamilia na marafiki.

Akizungumzia mabadiliko hayo Mkurugenzi wa Facebook Mark Zuckerberg ameeleza kuwa lengo la mabadiliko hayo ni kupunguza kuonekana kwa habari nyingi za biashara, za kampuni na taasisi na kutoa nafasi zaidi kwa...
watu wafahamiane zaidi.

“Tumepata mrejesho kutoka kwa watumiaji wa mtandao huu kwamba matangazo mengi ya biashara, makampuni na taasisi yanazonga muda wa watumiaji kuwasiliana na kufahamiana zaidi.” – Mark Zuckerberg

0 comments:

Post a Comment