Pages

Subscribe:

Monday, January 15, 2018

REAL MADRID WAMTIBUA RONALDO ATAKA KURUDI MAN UTD


Quando jogava nas ruas da Madeira e sonhava em chegar ao topo do futebol não podia imaginar que um dia tiraria uma foto como esta. Dedico este momento acima de tudo à minha família, aos meus amigos, aos meus colegas de equipa, aos treinadores com quem aprendi sempre e a tantos outros que trabalham nas estruturas de clubes e seleção. Por último, um agradecimento muito especial aos meus fãs. Estes troféus também são vossos!


Cristiano Ronaldo anataka kurudi Manchester United baada ya kuhisi kudanganywa juu ya ahadi zilizovunjika huko Real Madrid. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 alishinda Ballon d’Or yake ya tano mwaka jana, lakini amejiona akipoteza nje ya wachezaji watatu wa juu katika soka ya dunia.


Ronaldo sasa analipwa pauni milioni 21 kwa kila msimu, ambayo inamfanya ashike nafasi ya...
tano kwenye orodha ya fedha ya wachezaji.

Rais wa Real Madrid, Florentino Perez alimuahidi kumuongezea pesa katika mshara wake lakini mpaka sasa bado hajafanya hivyona ndo kinacho mfanya Ronaldo kutaka kurudi Old Trafford. 


Mreno huyo ambaye amekuwa akionyesha juhudi katika misimu hii ya hivi karibuni anaonekana kutaka kurudi katika ligi ya uingereza toka alipopata kesi ya kutokulipa kodi huko jijini Madrid

0 comments:

Post a Comment