skip to main |
skip to sidebar
SIKU 61 ZA LULU GEREZANI IDRIS SULTAN AANDIKA UJUMBE HUU
Kupitia instagram page ya Idris Sultan ameandika ujumbe ambao umewakumbusha wengi tukio la Elizabeth Michael “Lulu” kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake marehemu Steven Kanumba.
Idris
Sultan na Elizabeth Michael wamefanya kazi pamoja katika tamthilia ya
SARAFU na moja kati ya kipande katika tamthilia hiyo kimeonyesha kuwa
Elizabeth Michael ndiye anayemtembelea Idris Sultan gerezani wakati...
uhalisia wa sasa ni tofauti.
Idris Sultan aliandika “Kinyume cha hali halisi ya leo”
0 comments:
Post a Comment