Baada ya msanii wa muziki Diamond Platnumz kutoka Tanzania, kuibuka msindi wa tuzo ya muziki ya Soundcity MVP Awards 2017, kupitia kupengere cha ‘Best Male MVP’ wadau na mashabiki wa muziki nchini Nigeria wameonyesha kutofurahishwa na ushindi huo.
Katika kipengere hicho alichoshinda Diamond, alikuwa akichuana na wasanii kama Runtown, Davido, Olamide, 2face Idibia, Wizkid, Shatta Wale, Navio na Sarkodie.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter mashabiki hao wameonyesha...
hisia zao za kutofurahia ushindi wa msanii huyo.
Hizi ni baadhi ya tweets za mashabiki:
Osas Cruz @OsasCruz
Davido Giving Shout-out to Wizkid acknowledging his hard work. That's how it should be #SoundcityMVP pic.twitter.com/Igugtebz19
How Diamond Platnumz beat Wizkid, Davido, Olamide, to win the BEST MALE MVP should be the greatest fraud ever
Diamond who???!!!!! Best Male??!!! This place just flipped!!! Hooooowwww????!!!!!
pls follow back® @Slyxra
Best male Diamond platnumz... Wait how
Lil iz @LilizMusic
pls
mention just one hit single from diamond that took AFRICAN AIR IN 2017 @SoundcityMVP
diamond ko BRONZE NI#SoundcityMVP
diamond ko BRONZE NI#SoundcityMVP
You people should not do and end up like “HEADIES AWARD” what’s diamond platnumz, stop joking with us and give us the real winner pic.twitter.com/3RBAf7tovf



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment