Albamu hiyo ambayo ilitoka December 20 mwaka jana na kuanza kuuzwa kwa mfumo wa Pre order wiki (Alhamisi) hii inatarajiwa kuwa mtaani katika mfumo wa CD na platform zote na...
kimtandao.
Vanessa amesema katika siku kwanza watu wapatao 24 waliweza kumuelewa na kui-pre order na kadiri alivyozidi kuipigia chapuo katika mitandao ya kijamii ndivyo watu walizidi kumuelewa kitu kilichopelekea wiki ya pili kuwa na watu 400 na wiki ya pili watu 1,500.
0 comments:
Post a Comment